Manchester United (Red Devils) | Special Thread

United haijawahi kuwa timu ya Galacticos mkuu

Nakubaliana na wewe kununua ready made players (lakini iwe baadhi) na kuangalia wachezaji wanaotoka academy.

Utamaduni huu upo toka enzi za Busby Babes mpaka enzi za SAF.

Kosa ni kung'ang'ania academy players ambao sio good enough. SAF mwenyewe aliwaachia akina Gibson, Cleverley, Diof, Drinkwater, Richarlson n.k alipoona sio United quality.
 

Mkuu soka la sasa linaachana na utamaduni. Pesa zinakosesha subira na kutaka mafanikio ya haraka haraka. Wakati ukisubiri Perreira akomae Guardiola anaacha na Fernadhino anamchukua Rodri.

Kinachoendelea Man kwa sasa ni upotezaji wa muda tu sioni project yeyote inayoendelea, miaka 3-5 ijayo mtakuwa hapo hapo kama hamsajili na kuchukua kocha wa mtazamo wa mafanikio kama Simeone, Conte.

Man ni club kubwa in term of everything haiwezi kukaa isubiri Perreira akomae..

Man ni timu ya kukosa forward wa uhakika wa goli 15 kweli?
 
Tactically Ole is so predictable na ukizingatia mfumo wake wa 4 2 3 1 haumpi matokeo mazuri hasa kufunga magoli defensively ni mfumo mzuri kwa sababu unakuwa na watu karibu sita wanaodefend.

Kwenye kushambulia wale viungo watatu wa juu wanapaswa kuwa na workrate kubwa sana na creativity ya hali ya juu ambao Ole hana.

Anapaswa kuwa na striker mzuri ambaye ni clinical finisher badala ya hao vijana wake ambao wengi they are not natural strikers.
 
Mkuu issue yoyote ya usajili kuja usimlaumu Ole, hahusiki na usajili, yeye anasema tu wachezaji anowataka, kuja ama kutokuja kwa hao watu kunatokana na Woodward na genge lake. Tulikuwa linked na striker kibao kina dembele, Yule wa Sevilla, mandzukic etc, wote hawakuja.

Kuhusu fred kuwa fit ama la wanajua wenyewe makocha, Ila kikawaida ukiwa haupo fit na wenzako tayari wapo fit unaanzia mbali kwa kutrain mwenyewe mpaka ufikie level ya wenzako then baada ya Hapo ukianza kutrain na wenzako uje uelewe mfumo then ndio ucheze Mara kwa Mara. Mpaka tarehe 28 mwezi uliopita Fred bado alikuwa ana gain fitness.

Na mkuu 4-2-3-1 sidhani Kama Ina defensive midfield wawili, sijaangalia mechi ya West Ham siwezi comment, Ila Rochdale sio 2 defensive midfield, pogba hachezi Kama defensive midfield Bali anakuwa Kama Deep lying playmaker ama box to box midfield, Mara kibao anakuwa mbele anapiga vichwa ama kwenye pembe ya box akipiga pasi muhimu, hakai nyuma Sana.

Na hao watoto mkuu wanahitaji subira kuwa integrate kwenye timu, Even Messi kwenye ubora wake kipindi Barcelona wanaanza kum introduce hakuwa akicheza kila mechi ama kucheza dakika 90 muda wote. Miaka 17 mechi 7, Miaka 18 mechi 17, miaka 19 mechi 28 etc.
 
Kumchezesha Pogba as DLP ni kupunguza creativity kwenye timu na kumfanya anakuwa mzigo kwenye timu ndio maana ukiacha game against Chelsea Pogba amekuwa mzigo kwenye timu(hajatoa assist yeyote baada ya kuanza kucheza huo mfumo).We know best position ya Pogba Mourinho alimchezesha kwenye 4-2-3-1 akatukanwa ikambidi abadili to 4-3-3

Na OGS imebidi awachezeshe kila Matic na Fred baada ya Pogba kuumia .
 
Ole aliishusha timu Fulani daraja, Leo amepewa timu kubwa duniani aipandishe juu na aipe mataji, hii ni impossible, haipo popote duniani wala mbiguni narudia tena haipo, baada ya Mourinho kocha aliyekuwa anatakiwa Man u ni Konte au Ancelotti, hao ndo makocha wanaoweza kusuka kikosi kwa mda mfupi na bado wakiondoka kikosi kinakuwa kipo imara, Kwa soka la sa hv ni vigumu kukaa na kocha misimu mitano mfululizo et anajenga timu,....

Siku akiondoka anayekuja anavuruga kila kitu mnaanza upya na yeye anaanza kujenga timu, Kama Ole anatengeneza timu ina maana ataifundisha Man u miaka yotee, mbona kama ni kamali ya wazi kabisa inachezwa.....kuna Mwamba humu anajaribu kutuaminisha Ole anaipeleka timu sehemu sahihi, niseme tu ukweli anatudanganya...!!
 
Ila ndio mfumo pia alioshine nao Timu ya taifa world cup, akicheza Kama DLP. Japo nakubaliana na wewe anacheza vizuri zaidi 4-3-3, ngoja tuone maybe watacheza wote Fred, Mc tominay na Pogba.
 
Kinachoendelea kwa sasa united ni kupoteza muda tu......
Bonge la pointi hili
 
yani tusubiri rashford na lingard ipo cku watakuwa wazuri me naona ndo uwezo nso huu tunaowaona hautakuja kubadilika ! nakuhusu ole hata kama wanampa nafasi ajenge timu basi huyu atakula vichapo zaid ya makocha wote walopita utamchukia kama nnavyomchukia mimi hamna kocha pale...
 
Udhaifu ni kumuuza Lukaku na kumuacha Lingard ndani ya kikosi.
 
Messi alikuwa pekee kwenye lundo la experience and proven players.

Ole ana Chong (afya mgogoro), Greenwood, Gomes hawa wanacheza na wachezaji below average. Unategemea timu ya aina gani hapo??
 
Messi alikuwa pekee kwenye lundo la experience and proven players.

Ole ana Chong (afya mgogoro), Greenwood, Gomes hawa wanacheza na wachezaji below average. Unategemea timu ya aina gani hapo??
Manchester ingekuwa na madogo wa kariba ya Sancho, Joe Felix yule wa A.Madrid tungesema kuna future inakuja
.
Hawa waliopo wengi wataishia kama akina Cleverly. Hawana ubora wowote zaidi ya kuwa wapo United. Hakuna kocha anaweza kupata mafanikio na Mactomay, Lingard.

Mourihno alikuwa anaipeleka timu pazuri sana hakupewa support. Inaonekana Ole anaongea lugha moja na Woodward ndio maana akapewa kazi.

Utabadili kila mfumo na kila kocha ila Lingard na Rashford ni wale wale.
 
Ndo ninavyoona mimi..hawa madogo wengi wataishia kuwa kama welbeck na cleverley tu..nothing big they can offer

Tuingie sokoni tununue wachezaji sahihi wanaoweza kupambana kwenye level ya juu..

Dogo anayeshawishi ni Greenwood tu IMO

Huyo Perreira,McTominay,Chong hakuna la maana tutakalofanya tukiwategemea..

Ole anatia mashaka sana na Plan zake..tumpe muda kidogo tu,tutaongea lugha moja
 
Messi alikuwa pekee kwenye lundo la experience and proven players.

Ole ana Chong (afya mgogoro), Greenwood, Gomes hawa wanacheza na wachezaji below average. Unategemea timu ya aina gani hapo??
Dogo pekee wa academy ambaye naweza kusema anafaa kutegemewa kwa sasa ni Tuanzebe pengine na Brandon, hawa ndio wana nguvu hata ya kusukuma mpira.

Hao wengine ni wakutoa kwa mkopo hata msimu mmoja wakapate uzoefu, kuwategemea ni kubet.
 
Pogba kachoka anatoka kuondoka
Pochetino kuwa mrithi wa ole soon
Dogo pekee wa academy ambaye naweza kusema anafaa kutegemewa kwa sasa ni Tuanzebe pengine na Brandon, hawa ndio wana nguvu hata ya kusukuma mpira.

Hao wengine ni wakutoa kwa mkopo hata msimu mmoja wakapate uzoefu, kuwategemea ni kubet.
 
See..

Unamuacha Bruno Fernandez kisa una Lingard how pathetic.

We are just wasting time with Ole, Ed and Glazers.

Hizo takataka za kingereza hakuna sehemu zinatupeleka. Hizo ni standard za mid table teams.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…