Goli la jana Marcus Rojo hakufanya coverage upande wa kushoto baada ya Brandon William kuachwa angefanya coverage dogo angeshindwa kupiga au angepiga ikawa kona.
By the way dogo alitupiga goli classic sana
Chong aende kwa mkopo ecuador kule, dogo hali chakula kabsa!chong jana ndo kavuruga saana inatakiwa wamtoe kwa mkopo tu bado ajakomaa
Tuazebe alipewa u Captain kwa sababu Rochdale ni mji alio kuliaDah Eti Tuamzebe Captain mbele ya Pogba, what a joke. Huyu OGS sjui anawaza nini kwakweli. Kwa dharau hizi halafu anataka jamaa asign asign mkataba.
Mbona Man u ya LVG ilitolewa na MK Don's tena kwa kupigwa goli nne OT ?
Miaka mitatu iliopita tulikuwa na Rashford, Martial, Lingard, Jones, Smalling, Young.nimecheck game ya jana nimeiona manchester moja nzuri saana ila miaka mi3 ijayo nyuma tupo vizur saana wan bissaka ni beki mzuri saana na marcus rojo naona amerudi kwenye kiwango inatakiwa kocha amuamini sasa. tuanzabe ni bonge la mchezaji kwanza ni mtulivu uwanjani hana papara na huyu dogo williams nae yupo vzr kwanza anaspeed..
nimecheck game ya jana nimeiona manchester moja nzuri saana ila miaka mi3 ijayo nyuma tupo vizur saana wan bissaka ni beki mzuri saana na marcus rojo naona amerudi kwenye kiwango inatakiwa kocha amuamini sasa. tuanzabe ni bonge la mchezaji kwanza ni mtulivu uwanjani hana papara na huyu dogo williams nae yupo vzr kwanza anaspeed..
Namba ya Lindelof ipo mashakani sana, hata mwenzake Shaw. Huyu Brandon ametulia kupita maelezo na anajiamini. Rojo ni mchezaji mzuri,pengine ndio mchezaji pekee sijawahi kumtilia shaka pale MUFC. Kumbuka kipindi cha Mou kabla hajapata jeraha. |
Kuna wachezaji wakubwa Kushinda Falcao, Di Maria, Ibrahimovic, Bastian na wengineo kipindi Chao? Wamekuja na wameshindwa, ilishajaribiwa kipindi Cha Fergie pia tukafeli, mtu mjinga Ni yule anarudia kitu kile kile muda wote na kinafeli.Your right brother. Mimi sio shabiki wa Man u ila naumia sana kuona timu kubwa kama man u wanacheza wachezaji ambao sio hadhi kabisa ya kuanza 1st eleven.
Man u ni timu kubwa na ina historia kubwa ila kwa sasa inaangushwa na sajili na mipango ya ovyo inayofanywa na management na kocha.
Mimi nilitegemea wakina rashford, martial na mbarara zilizobaki zingekuwa zinatokea benchi kama sub. Man u inatakiwa isajili wachezaji wakubwa wa kimkakati na wenye viwango vya dunia.
Ukimuondoa (POGBA, BISSAKA) Hizo Mbarara nyingine zilizobali zitawawapotezea muda.
Tuna uhakika tutapata kutoka arsenal.Siku hiz hata mcheze na gwambina ya pasta athanas hamtoi clean sheet
Leta solutionWadau tusijidanganye sana kuwa hali tunayopitia kwa sasa ni ya muda tu katika mazingira haya haya ya akina rashford,martial,lingard,young,jones na ole kama wachezaji wa kikosi cha kwanza. Kuna kitu huwa nakiona kwenye timu za mpira zinazopata mafanikio makubwa kuanzia ngazi ya vilabu hadi timu za taifa. Brazi ya akina dunga,ureno ya akina rui costa,Netherland ya akina seedorf,Manchester ya akina scholes,arsenal ya akina thierry, Madrid ya Ronaldo,Barcelona ya akina xavi,n.k.
Hizi timu tunaweza kusema zilifikia vilele vya mafanikio katika usakataji kabumbu kwa wakati huo na ikafikia kipindi zikashuka. Kushuka huku kulitokana na uchakavu wa baadhi au wachezaji wote wa kikosi cha kwanza. Viongozi wenye dhamana walikuwa wanalitambua hilo na kulifanyia kazi kwa kuingiza damu changa mapema ili warudi kileleni wanapostahili. Hata kuanguka kwao kulikuwa sio kwa aina hii ya Manchester united inavyotudanganya na ed Woodward wao. Angalia ureno baada ya akina Costa,Brazil baada ya dunga,Manchester baada ya scholes,arsenal baada ya henry,barca baada ya xavi,zote hizi zilijitahidi zisishuke chini sana maana wanajua namna nzuri ya kukaa kilele si suala la uzawa bali uwezo wa mtu husika.
Leo hii Manchester ina struggle kwenye kila mechi na ikitokea mtu ametoka syari ya mars akaambiwa hii ilikuwa miamba ya soka la uingereza miaka saba nyuma atabisha kwa nguvu sana,ila akiambiwa Manchester inashiri ligi ya vpl atakubali haraka sana.
Build up inayofanywa na ole ni ya kijinga sijawahi kuona,tangu mwanzo huitaji akili nyingi kujua kuwa haitakuwa na matokeo chanya hata baada ya miaka 10 mbele. Labda kama wanaaanisha kitu kingine ambacho sisi hatukiona kwa macho ya nyama. Inatia hasira sana.
Hata kuhamasiha hawezi.Ole sio kocha ni mhamasishaji..Hii kazi tuliyompa it's out of his ability..Hakuna timu ya kueleweka itakayojengwa na yeye
Kuna watu wanasema tunawachezaji wa kawaida..inawezekana,lakini sio kwa uchezaji huu tunaocheza.
Ole sio right person kuwa kocha wa United.Kuna wachezaji wakubwa Kushinda Falcao, Di Maria, Ibrahimovic, Bastian na wengineo kipindi Chao? Wamekuja na wameshindwa, ilishajaribiwa kipindi Cha Fergie pia tukafeli, mtu mjinga Ni yule anarudia kitu kile kile muda wote na kinafeli.
Ole amesajili watu watatu tu na tumeona impact Yao, mpeni muda tumuone na yeye approach yake itakuwaje, hata Kama Ole hatafanikiwa na timu ikashika nafasi ya 8 atakuwa ameacha foundation nzuri ya Kocha anaekuja.
Ole ame address weakness nyingi za timu yetu Kama vile beki wa Kati na Fullback wa kulia, pia according to Dortmund Director man UTD wali approach kumnunua Sancho Ila waliambiwa deal haliwezi kamilika msimu huu
Na Sancho mwenyewe amekiri kuwapigia simu man UTD kuwa hayupo tayari kwenda timu kubwa msimu huu, means yupo interested kwa baadae kujiunga Man UTD. Hili pia linaonyesha Ole anaona weakness ya winga wa kulia na tayari analifix.Borussia Dortmund director confirms Manchester United interest in Jadon Sancho
Not exactly a secret, is it?thebusbybabe.sbnation.com
Imagine impact ya Bisaka/Maguire/James itokee Tena kwenye winga wa kulia, Midfield na striker kwenye madirisha yajayo ya usajili.
Namba ya Lindelof ipo mashakani sana, hata mwenzake Shaw. Huyu Brandon ametulia kupita maelezo na anajiamini.
Rojo ni mchezaji mzuri,pengine ndio mchezaji pekee sijawahi kumtilia shaka pale MUFC. Kumbuka kipindi cha Mou kabla hajapata jeraha.
Kuna wachezaji wakubwa Kushinda Falcao, Di Maria, Ibrahimovic, Bastian na wengineo kipindi Chao? Wamekuja na wameshindwa, ilishajaribiwa kipindi Cha Fergie pia tukafeli, mtu mjinga Ni yule anarudia kitu kile kile muda wote na kinafeli.
Ole amesajili watu watatu tu na tumeona impact Yao, mpeni muda tumuone na yeye approach yake itakuwaje, hata Kama Ole hatafanikiwa na timu ikashika nafasi ya 8 atakuwa ameacha foundation nzuri ya Kocha anaekuja.
Ole ame address weakness nyingi za timu yetu Kama vile beki wa Kati na Fullback wa kulia, pia according to Dortmund Director man UTD wali approach kumnunua Sancho Ila waliambiwa deal haliwezi kamilika msimu huu
Na Sancho mwenyewe amekiri kuwapigia simu man UTD kuwa hayupo tayari kwenda timu kubwa msimu huu, means yupo interested kwa baadae kujiunga Man UTD. Hili pia linaonyesha Ole anaona weakness ya winga wa kulia na tayari analifix.Borussia Dortmund director confirms Manchester United interest in Jadon Sancho
Not exactly a secret, is it?thebusbybabe.sbnation.com
Imagine impact ya Bisaka/Maguire/James itokee Tena kwenye winga wa kulia, Midfield na striker kwenye madirisha yajayo ya usajili.
Wachezaji wakubwa muhimu sana kwenye timu. Kufeli kwa akina Falcao, Sanchez haina maana Man ianze kutegemea akina Rashford.Mkuu tunakubaliana maeneo mengi sana, lakini je baadhi ya maamuzi ya Ole hayakupi mashaka?
Mfano imani aliyonayo kwa Rashford na Pogba (na kumng'ang'ania abaki wakati hataki kubaki) ni kubwa kuliko uwezo wa hao jamaa?
Angalia team selection yake, je Matic ni bora kuliko Fred, je Mata alikuwa ni wa kuongezwa miaka 2? n.k
Pia, angalia clear out aliyoifanya bila replacement, je yupo sahihi kwenye hilo?
Pia, kwanini ameondoka kwenye 4-3-3 iliyompa mafanikio msimu uliopita na kuja kwenye 4-2-3-1
Mwisho, bado nina imani na Ole, kwani ninaamini zile game zaidi ya 10 alizoshinda haikuwa jambo la kubahatisha lakini huoni kama ana hitaji kubadilika.
Watu wanasema wachezaji waliopo sio hadhi ya kucheza United, je hawana hadhi ya kuifunga Rochdale (ndani ya dakika 90)timu inayoshika nafasi ya 17 kwenye ligi iliyopo daraja la 3 uingereza?
Usimlaumu ole kwenye replacement mkuu, ole alitaka wachezaji wengi Ila hajapewa, na Huyu jamaa pia Ni mkali Rashford anapewa muda akishindwa kudeliver na yeye pia namba ataikosa, usisahau msimu unaanza Ole alikuwa anaprefer martial Kama namba 9 kuliko Rashford.Mkuu tunakubaliana maeneo mengi sana, lakini je baadhi ya maamuzi ya Ole hayakupi mashaka?
Mfano imani aliyonayo kwa Rashford na Pogba (na kumng'ang'ania abaki wakati hataki kubaki) ni kubwa kuliko uwezo wa hao jamaa?
Angalia team selection yake, je Matic ni bora kuliko Fred, je Mata alikuwa ni wa kuongezwa miaka 2? n.k
Pia, angalia clear out aliyoifanya bila replacement, je yupo sahihi kwenye hilo?
Pia, kwanini ameondoka kwenye 4-3-3 iliyompa mafanikio msimu uliopita na kuja kwenye 4-2-3-1
Mwisho, bado nina imani na Ole, kwani ninaamini zile game zaidi ya 10 alizoshinda haikuwa jambo la kubahatisha lakini huoni kama ana hitaji kubadilika.
Watu wanasema wachezaji waliopo sio hadhi ya kucheza United, je hawana hadhi ya kuifunga Rochdale (ndani ya dakika 90)timu inayoshika nafasi ya 17 kwenye ligi iliyopo daraja la 3 uingereza?
Hivi club kama Madrid project yao ya kujenga timu mbona ipo clear sana. Wamenunua Hazard, Mendy, Jovic etc.Upo sahihi Tuanzebe na Brandon Williams watanyang'anya watu namba pale OT
Usimlaumu ole kwenye replacement mkuu, ole alitaka wachezaji wengi Ila hajapewa, na Huyu jamaa pia Ni mkali Rashford anapewa muda akishindwa kudeliver na yeye pia namba ataikosa, usisahau msimu unaanza Ole alikuwa anaprefer martial Kama namba 9 kuliko Rashford.
Kuhusu pogba Mambo mengi Ni media tu zinazusha na ole amemfundisha pogba Toka alivyokuwa kocha wa reserve kipindi Cha Fergie, ile timu ya kina pogba ya watoto Ole Alikuwepo kikosi Cha u23. Na hata Kama Pogba anataka kuondoka Basi itakuwa Ni process tutafute kwanza replacement huwezi kumuachia tu pogba aondoke itakuwa Ni majanga.
4-3-3 mkuu tunacheza na midfield gani? Ili tucheze huo mfumo inabidi Fred arudi kwenye kiwango, kuondoka kwa Herrera kumetufanya tusiweze kucheza huo mfumo.
Kuhusu ole na Fred sioni tatizo, Fred alikwenda kuoa na hajashiriki pre season, means mwanzo wa msimu hakua fit, na Ole na Fred waliongea na amehakikishiwa kuwa yupo kwenye mipango yake, kinachofanyika Hapa Ni taratibu kumuingiza kwenye kikosi Cha kwanza, mwanzo alikuwa anacheza dakika 30 mpaka Jana amemaliza 90.
Watu wengi wanaangalia timu yetu kwa point tulizo nazo Ila team ime improve sana, Sasa Hivi mechi 1 tunatengeneza nafasi kibao tunashindwa tu kufunga, hivyo tuna tatizo la quality Ila mfumo upo vizuri, hivyo wachezaji wanatakiwa ku improve na usajili pia ufanyike.
Even Arsene Wenger mwenyewe anasema man United bado wachezaji Kama wa 4 icompete kwenye level zote.