Giovani Lo Celso ni majeruhi aliumia akiwa na timu ya taifa Argentinapochettino anampenda dele alli kama ole na rashford.
kama dele ameflop kwa nini hampi nafsi Giovani Lo Celso?
makocha wa ulaya wanaongozwa na mapenzi ya kijinga baadhi ya nyakati.
muangalie sarri masigara huna la kumwambia juu ya gonzalo higuain, msimu huu ronaldo huyu mwenye miaka 34 anachezeshwa winga ili higuain acheze striker,
Sitashangaa wakitupeleka matuta na kutolewa kama spurs maana washajua sasa ivi united ni kama rochdale.....na wao watabaki kuwa rochdaleHawa wakata nyasi (Rochdale) wakitudhalilisha leo inabidi Ole atimuliwe kabla hakujakucha..
Na wata wadhalilisha kweli,nendeni kibwege muone.Hawa wakata nyasi (Rochdale) wakitudhalilisha leo inabidi Ole atimuliwe kabla hakujakucha..
Inasikitisha sana mpaka kwa Rochdale mnajiuliza,Hii tafsiri yake ni nini inaonyesha Manchester United sasa hizi haina mechi rahisi tena kila mechi kwenu nyie ni ngumu.Dhidi ya Rachadale leo, tutatoka kweli [emoji3]
[emoji3][emoji3]Hawa wakata nyasi (Rochdale) wakitudhalilisha leo inabidi Ole atimuliwe kabla hakujakucha..
[emoji23][emoji23][emoji23]Pereira kati.... Duuuh....
Dah Eti Tuamzebe Captain mbele ya Pogba, what a joke[emoji35]. Huyu OGS sjui anawaza nini kwakweli. Kwa dharau hizi halafu anataka jamaa asign asign mkataba.
Msimu huu tu?!!
Dele amekuwa chini ya kiwango kwa misimu zaidi ya miwili