Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matone ya mvua yameshaanza kutupata.
 
Team ipi inashuka daraja? Man united haiwezi shuka Daraja. Karibu napika Pizza za kutoka Napoli. Unahitaji 2 au zaidi ?
sasa Liverpool kapigwa mbili na Napoleon nyie mkikutana nao mliopoteza mbili kwa Westham?
 
Mkuu nipo naugulia maumivu pia nilienda kuchukua kuku wangu ndo naingia sahizi...kumbe hali sio hali hapa nyumbani
 
Kila mchezo unapoanza ukitazama viungo wetu na waliopo bench tayari unakuwa umeshakubali kipigo. Hamna matumaini kabisa.
 
Yawezekana tunawalaumu kina Rashford bila kuangalia pia kiungo chetu cha ushambuliaji kikoje.

Tunatengeneza nafasi za kufunga magoli chache sana kiasi kwamba clear chance zimekuwa za kubahatisha tu

Uko sahihi mkuu, MUFC imeoza zaidi eneo la kiungo hata Pogba akiwepo mipira inapotea zaidi pale kati.

Niliwahi kusema sio muda tutaanza kusema Maguire na Bissaka ni wakawaida maana watashindwa kuzuia makosa yanayofanywa na viungo.

Bila kuwa na viungo wazuri wanaoweza kutembea na mpira na wanaojiamini tutatukana mabeki wetu na De Gea ataanza kuonekana pazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…