Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu REF hajaja na Mbeleko!!!! Anataka Football Nani na wenzie wanalalamika hapa.... wanataka Penalty!!!! Nah... Play Football and score.....
 
HT TOT 2 MANU 0
 
Last edited by a moderator:
Ebana eee!!! Kile kidonda cha SAF cha adabu mbaya.....but kinaonyesha time ileile sawa na changu hiki kuwa kwa sasa ni Half Time!!!! Rooney aingie 2nd half atoke nani??
 
atoke Van Puuuuuuuu...ngoja uone watakavyoanza kudive kwenye maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu ili waende tutani.

Ebana eee!!! Kile kidonda cha SAF cha adabu mbaya.....but kinaonyesha time ileile sawa na changu hiki kuwa kwa sasa ni Half Time!!!! Rooney aingie 2nd half atoke nani??
 
Ebana eee!!! Kile kidonda cha SAF cha adabu mbaya.....but kinaonyesha time ileile sawa na changu hiki kuwa kwa sasa ni Half Time!!!! Rooney aingie 2nd half atoke nani??

RVP na NANI watatoka wamechemka mbaya first half wamepata Goal attempt moja kwa 6 za spurs
 
Yaaani Raaaaha sana... nilikuwa nawapongeza hapa... ghafla jamaa wameongeza,..... 3 -1. Ukuta ma Man utd ni famba kinyama
 
3-2 dakika ya 53...Yagawa...naona leo kuna karamu ya magoli.
 
NBA imeanza sasa hao ndio Totenham mara ngapi tumewaona wanawapiga United 3 na kuisha wanapigwa 5.
 
Refa anajifanya hatoi Card simlaumu hii game inavyoenda ma goal mengi na balaa la ma Penalt linanukia.
 
dakika ya 70 3-2...bado mashabiki wa MANU wamejikunyata kama wanapigwa na baridi na sura zao zikionyesha wasiwasi mkubwa.
 
Back
Top Bottom