UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,048
- 9,342
TOT wamefanya kosa la kuwaruhusu ManU wachezee mpira watakavyo, wasipoangalia itawacost.
dakika ya 70 3-2...bado mashabiki wa MANU wamejikunyata kama wanapigwa na baridi na sura zao zikionyesha wasiwasi mkubwa.
Hivi wenye huu mji wako wapi?
Hapa kuna goli kama sio magoli
...Wamesepa wote lol! kama matokeo yatabaki hivi nitampitishia BJ chupa ya wine ili ajiliwaze najua saa hizi yuko hoi bin taabani
Umeona eeh! Jamaa wanashambulia kama nyuki dakika ya 82 bado 3-2
Pitisha 2 nitakuwa naye!!! Leo Arsenal kscheza na mabingwa wa ulaya nipe matokeo...Wamesepa wote lol! kama matokeo yatabaki hivi nitampitishia BJ chupa ya wine ili ajiliwaze najua saa hizi yuko hoi bin taabani
Naona T"ham wamepaki Bus na wametoa na Matairi kabisa.... No movement at all....
Hivi wenye huu mji wako wapi?