Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu kumbuka mwanzo ulikuwa unapigania overhaul ya squad nzima sasa imefanyika malalamiko ya nini ?

Ole ni Mwalimu Mzuri tu kinachomwangusha ni quality of players tu
 
Watahamishia kwako Mkuu, nawe si mchezaji au hujioni hapo kwenye pp yako
Hii timu kwa kulaumu wachezaji mnaongoza dunia nzima, kaondoka lukaku na sanchez lawama zote kwa Lingard na pogba, ngoja pogba aondoke tuone mtahamishia kwa nani lawama zenu, hahaha!
 
Eti jicho la 3.Yale yale ya Lingard unaambiwa ni hatari sana akiwa hana mpira. Man hata aje kocha gani bado mtacheza the same, tatizo sio kocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…