Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa jamani nyie ndugu zangu wa arsenal mlio halfcast wa liverpool mi nauliza swali moja tu. Timu yenu ya KUFIKIA (LIVERPOOL) mpaka jana wameshacheza mechi ngapi na pointi zao ni ngapi? Na huko kwingine walionewa? GGMU

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ngoja tuisubiri hiyo mechi number 10 tuone. Naamini Manure mtakalishwa na mwaka huu utakuwa wa mwisho kuidhihaki Arsenal
 
Mimi hua nakuaga na wasiwasi na man city chelsea n liverpool lakini arsenal walaaah sina wasiwasi kabisa yaani nakua so relaxed bring em on tuwachape bao saba
 

29ehncp.jpg





hdwallpapers2302.jpg

Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.

ushindi wenyewe wa kupewa tena kwa kulazimishwa?hamna kitu [pale}
 
Capital One Cup latest results:
First half - 40 mins.

Man Utd 0 Newcastle Utd 0.
 
Timu inacheza vizuri hadi sasa. Madogo wanajitahidi sana. Ila Vermijl, right back anazingua kimtindo.

Fletchy na Wazza ndani ya nyumba.
 
Anderson scores a spectacular goal with power and precision. United leading 1 nil. 1 minute to half time.
 
Kipindi cha pili kinaanza.

Man Utd wanaongoza kwa goli 1 dhidi ya Newcastle Utd. Goli lilofungwa na Anderson.
 
Vermijl produces a classic United cross,but Chico's header goes off target.
 
De Gea golini. Naona SAF anataka kumpa experience zaidi Lindegaard.
 
Dogo Buttner anakamua vizuri sana. Sasa SAF ampange hata kwenye games za EPL apate uzoefu zaidi.
 
Cisse ametumia vizuri uchanga wa mabeki. Sasa ni 2 kwa 1.

Dakika ya 64.
 
Back
Top Bottom