Naombea Chris Smalling apone awe back up ya CB, maana Rio na Evans wote ni spana mkononi sidhani kama wanaweza cheza game 6 mfululizo
Hao wote wanaweza kimeo ni RvP... hana game 4 ataumia asee
Formation aliyokuwa anachezeshwa na AW ilikuwa inamlinda... Lone striker alikuwa ni Pure Finisher.... Si unamuona hapo man Utd hadi katikati anafata mipira... Simuombei mabaya ila napredict from set of play aseeAcha kumuombea mabaya nyie si mliona hana value mkamuuza??!
Kwenu aliezaje kucheza msimu mzima bila kuumia?
Back2topic: Tottenham oyeee...
TOT 2 MANU 0...Ni aje leo? ref ataamua kuwabeba!?
DK. 40 T'Ham 2 Man Utd 0Dakika ya ngapi?
ndio shida ya hii timu kubebwa.Watapewa Penalty 2nd half tutabaki mdomo wazi hapa!!!!! But so far so Good T'Ham wanagawa Discipline