Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu iliyoshinda Championship huwa inaushindani mkubwa. Tatizo lako huujui mpira hata hilo hujawahi kuliona. Unabwabwaja tu
 
Luiz akiwa Arsenal lazma awe mzuri maana huko kwenu hakuna kama yeye.
 
Maguire anaweza kuwa bora kulilko Zouma ila siyo bora kulko Rudiger
 
Unless fred/matic warudi kwenye kiwango, siwezi ona timu yetu ikicheza 4-3-3 maana mfumo huu pogba anakuwa kushoto na MCtominay anaenda kulia katikati inabidi likae jembe haswa la sivyo tunakuwa exposed. Kwenye 4-3-3 lingard pia atapumzika maana Sasa Hivi yupo kwenye form ya kipekee.
 
Four reds who named in the three lions squad,..... People are like, WTF are coaches seeing in this player
 
bora waende tu kwanza kuliko kuendelea kubaki maana mtu kama Darmian tangu aje mpaka leo tunasikia tu tetesi za yeye kuuzwa ila msimu ukianza tupo nae
 
Hai make sense UTD kuwa kila siku inauza / kuwatoa on loan wachezaji wake wakati haina mbadala wake

Hivi ikitokea Martial na Rashford mmoja awe na kadi nyekundu {Straight Red Card} mwingine aumie goti, kule mbele atacheza nani?
 
Juventus imeizidi Man United kwa wafuasi katika mtandao wa Instagram. Tangu Ronaldo atue Juventus timu hiyo imeongeza wafuasi milioni 20 hivyo kufikisha Mil 31.1 na kuiacha United yenye wafuasi Mil 31. Ronaldo mwenyewe ana wafuasi Mil 181.
 
Hahahah\aaa
 
-Uingereza lingard toka apate namba man u anaitwa, na sio tu kuitwa anacheza,
-van Gaal alikuwa anamkubali Sana
-mourinho alikuwa anamkubali sana
-ole pia anamkubali Sana

Kama walimu 4 tofauti kila mmoja anamuona Ni mchezaji mzuri kuanza Kuna Jambo pengine hujaliona


Nakubali Lingard sio top player Ila usi mu underestimate jamaa ana skills za kipekee, na attribute yake kubwa Ni off the ball, akiwa Hana mpira Ni hatari zaidi kuliko akiwa na mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…