OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Uyo jamaa mbna kama ameleta dharau kwa Benteke..Peter Drury:- "You look at Marcus Rashford, he has the speed and the shooting style of Cristiano Ronaldo but the brains of Christian Benteke "
Nimecheka kweli na huyu jamaa. Rashford anaspidi ila ubongo wa Benteke..
ujio wa maguire, james na bissaka kwa kuziangalia hizi mechi tatu tulizocheza wameonyesha kiwango chenye kuleta matumaini makubwa sana pia wamechangia kwa kiasi kikubwa sana kuziba baadhi ya nyufa zetu zilizokuwa zinatishia kuiangusha nyumba yetu ya matofali.Sijui kitu gani kikichofanya tushindwe kutumia nguvu zetu zote kumpata mmojawapo hapo kati ya Ericksen, Madison au BF. Pamoja na mapungufu yanayotajwa kuhusu Bruno siamini kama hiyo ni sababu ya Msingi, nadhani sababu he is not English
Naunga mkono hoja, Pogba style yake ya uchezaji ni ya ku risk kupoteza mipira hivyo anapaswa kupandishwa juu, ili hata akipoteza mpira iwe rahisi ku recover
Apo fans wa Chelsea tutoe ..sisi ni wastaarabu sana ..
Kila la kheri Chelsea
Hamjui benteke vizuriUyo jamaa mbna kama ameleta dharau kwa Benteke..
mkuu hata kama fred atapewa nafasi basi si ajabu kumkuta OGS anampa nafasi lingard awe namba 7 huku daniel james akitokea benchi.Kwa sasa Scot is better kuliko Matic, game za pre season zimethibisha hivyo, Matic amepungua sana uwezo
Nadhani hata mazoezini hali ni hiyo hiyo
Kwa Fred sijajua tatizo ni nini ila nahisi kwa kuwa hakushiriki pre season fully ndio maana OGS anataka awe na level of fitness ya wenzake ndio ampange
Na hata Fred akiwa fit sidhani kama atamkalisha Scot bench, labda Lingard, ili Pogba apande juu na huku chini abaki Fred na Scot
Mkuu Dimaria alii prove Dunia kwamba ni world class, je alipokuja United kina nani walimfanya ashuke kiwango, Falcao, Sanchez wakishushwa na akina nani n.kPogba tayar kisha prove ni world class player huwez kumueweka daraja moja na kiungo yoyote pale united
Pogba anacheza timu yoyote duniani ila sio hao uliowataja
Mata tayar kafanya makubwa na kashinda vitu vingi ngaz ya club na timu ya taifa
Mata tayar umr umekwenda huwez kumtafutia watu wa kufanya nao kazi zaidi anatakiwa kustaafu
Lingard ana miaka 27 au 26 hamna cha maana alichofanya
Lingard yupo kwenye umr wa ukomavu wa mpira lakin anashindwa kufanya vitu sahihi
James kacheza mech tatu naona umeona madhara yake ila kwa kuwa ni mdogo tunampa muda
Pogba anahitaj timu ya kushinda makombe kwa kuwa tayar yupo kwenye ubora wake ndio maana tunalaumu kumuweka na watu wasio na tija
Ndio maana unasikia kocha anasema nataka kujenga timu ya kumzunguka pogba sio jeseey lingard kwa nini sio jesey lingard jibu ni useless player
Tunapolaumu kumharibia pogba kiwango unaangalia mambo aliyofanya juventus na national team kisha unaangalia uwiano uliopo kule na huku sasa jaribu kutazama kwa engle hiyo nani ana mpotezea muda mwenzie
Kumbuka pogba sio mkabaji ila sisi tunataka awe mkabaji
Bissaka sijawai kumponda mkuu nilimwesabia mechi ..lakini ameonesha kiwango kizuri ila tatizo timu ya Man united itamtumia tu bila mafanikio yeyote ..hii Man united ya sasa inaeza Ku struggle ata misimu kadhaa mpka kurudi kwenye uwezo wake tunaoujua. Hii timu itakuwa inapanda na kushuka hivi hivi hadi msimu unaisha. Hivyo Bissaka na Pogba naona kwa mtizamo wangu watafute timu za kwenda tu kama wanataka mafanikio ya makombe ..ila kama ni pesa basi wabaki wazichote tuNaona umeanza kumkubali Bissaka taratibu
Kuna siku ulimponda sana humu
Hahaha unaifunga Chelsea yenye watoto waliotoka championship msimu uliopita..jana umekutana na wazee wa kazi na ndo tutajua man united khalisi ni ipi..Nyie vibonde wetu, hata tukipanga under 18's,tunawagonga 4G kama kawa
Nakukumbusha mkuu radika kuhusu comment yako juu ya timu yetu.Kwa upande wa timu sina shida nayo tulikuwa na upungufu mdogo sana hata mwisho wa ligi tumeangushwa na foward ambapo soon wataenda kurekebisha kama wakiamua unajua timu ikiwa na ushambuliaji mkali hata mabek huwa imara hawachok sasa muda wote mpira upo kwetu mbele hakutish timu itakuwa mbovu tu hiv barcelona tunaamini wana bek bora pale? Mbele barcelona kunatisha
Hao wakina smalling na jones wamecheza chini ya sir alex lakin kuanzia namba 6 tulikuwa vizur had ushambuliz kiasi kwamba muunganiko wa timu unakuwepo pogba anajitahidi sana kutengeneza nafasi japo ana shida yake lakin umaliaziaji upoje?
Hahahaamkuu hata kama fred atapewa nafasi basi si ajabu kumkuta OGS anampa nafasi lingard awe namba 7 huku daniel james akitokea benchi.
teh teh teh
nemanja matic uhusiano wake na man utd ndio unaelekea mwishoni kama OGS ataendelea kuwa mwalimu.
Upo sahihi Cristal Palace ni bora kuliko ChelseaHahaha unaifunga Chelsea yenye watoto waliotoka championship msimu uliopita..jana umekutana na wazee wa kazi na ndo tutajua man united khalisi ni ipi..
Chelsea sijaona mchezaji wa kushauri aondoke maana wote ni wa level za ChelseaBissaka sijawai kumponda mkuu nilimwesabia mechi ..lakini ameonesha kiwango kizuri ila tatizo timu ya Man united itamtumia tu bila mafanikio yeyote ..hii Man united ya sasa inaeza Ku struggle ata misimu kadhaa mpka kurudi kwenye uwezo wake tunaoujua. Hii timu itakuwa inapanda na kushuka hivi hivi hadi msimu unaisha. Hivyo Bissaka na Pogba naona kwa mtizamo wangu watafute timu za kwenda tu kama wanataka mafanikio ya makombe ..ila kama ni pesa basi wabaki wazichote tu
Nikumbushe mara mwisho Liverpool kuwa na clean sheet, maana United mara ya mwisho ilikuwa ni Agost 2019Crystal Palace
Southampton
PSG
Arsenal
Wolves
Watford
Wolves
Barcelona
West Ham
Barcelona
Everton
Man City
Chelsea
Huddersfield
Cardiff
Chelsea
Wolves
Crystal Palace
Man Utd have kept ONE clean sheet in their last 18 games
Mourinho anazingua Sana, aliulizwa juzi timu ambazo zinaweza chukua EPL mwaka huu jamaa akataja Manchester City, Liverpool, Tottenham na Manchester City "B" team...mkuu mbona bado ni mapema sana kujipiga ban ya muda mrefu.kwa mtazamo wangu sidhani kama itakuwa ni sahihi kuzitumia hizi mechi tatu (chelsea, wolves, palace) tulizocheza kama ni samples za kufanyia maamuzi na utabiri kuhusiana na muelekeo mzima wa klabu kwenye ligi kuu na mashindano mengineo.
bado nina imani kubwa sana ya klabu kufanya vizuri msimu huu kama tutazifanyia kazi hizi warning signs tulizopewa na wapinzani wetu uchwara tena ligi ikiwa bado ndio kwanza imeanza.
ila kama tutazipuuzia hizi warning signs basi hata mimi pia nitafuata mkondo wako kwa kujipiga ban ya muda mrefu kama nilivyofanya nyakati za utawala wa louis van gaal na mdogo wake david moyes.
tusipokuwa makini huenda jose mourinho huyu tuliyekuwa tunamdhihaki kwa lugha mbali mbali akawa ndiye kocha pekee mwenye mafanikio ndani ya klabu tokea aondoke sir alex ferguson.
kumaliza nafasi ya pili nikiwa kama kocha wa manchester united ndio mafanikio yangu makubwa klabuni.
dah! wengi wetu tulimuona jamaa ni mwehu baada ya kutoa kauli hii.
yes, swala analeta matumaini lakini unakuta wachezaji kama wale wanaotoka timu ndogo baadae wanajikuta wanaingia first eleven kwenye timu kubwa wanachoka mapema sana au wanajisahau pindi wanapokosa upinzani.Hahahaa
Mimi kiukweli Lingard naona anaweza kutumiwa katika baadhi ya mechi kimkakati lakini si mechi zote
Lingard hana uwezo wa kumuweka DJ especially kwa nafasi za pembeni
Kinachonifurahisha, naona kama umeanza kumuelewa swala
Utageuka tu maneno yako, Kuna siku nyingine ukasema Azpilikweta ni bora kuliko BissakaBissaka sijawai kumponda mkuu nilimwesabia mechi ..lakini ameonesha kiwango kizuri ila tatizo timu ya Man united itamtumia tu bila mafanikio yeyote ..hii Man united ya sasa inaeza Ku struggle ata misimu kadhaa mpka kurudi kwenye uwezo wake tunaoujua. Hii timu itakuwa inapanda na kushuka hivi hivi hadi msimu unaisha. Hivyo Bissaka na Pogba naona kwa mtizamo wangu watafute timu za kwenda tu kama wanataka mafanikio ya makombe ..ila kama ni pesa basi wabaki wazichote tu
yes, alikuwa anajaribu kuonyesha jinsi gani majirani zetu walivyojaaliwa utajiri wa wachezaji wenye viwango visivyopishana sana.Mourinho anazingua Sana, aliulizwa juzi timu ambazo zinaweza chukua EPL mwaka huu jamaa akataja Manchester City, Liverpool, Tottenham na Manchester City "B" team...
Kwamba hata wachezaji waliopo benchi pale Manchester city wanaweza compete for tittle wakipewa nafac....
Man united zamani ilikuwa ni dream ya wachezaji wengi kucheza. Ilikuwa ni heshima sana kukipiga ndani ya dimba la OT ..Sijui kitu gani kikichofanya tushindwe kutumia nguvu zetu zote kumpata mmojawapo hapo kati ya Ericksen, Madison au BF. Pamoja na mapungufu yanayotajwa kuhusu Bruno siamini kama hiyo ni sababu ya Msingi, nadhani sababu he is not English
Naunga mkono hoja, Pogba style yake ya uchezaji ni ya ku risk kupoteza mipira hivyo anapaswa kupandishwa juu, ili hata akipoteza mpira iwe rahisi ku recover