Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lile goli halikuwa na tatizo lolote ila refa alilikataa kimakosa na hiyo ni kawaida tu kwenye Mpira refa kukataa Magoli halali na Akayakubali Magoli Batili ya offside au kushika kwa Mkono.
Sheria mpya inasema kuwa goli lolote halitakubaliwa ikiwa mkono ulihusika kugusa mpira.....na goli la gabriel lilionesha wazi kuwa mpira ulianza kushikwa kwanza kabla ya mfungaji hajaukwamisha wavuni
 
Nilishawahi kuinsist humu kuwa mkabaji mzuri kabaki Matic peke yake
 
Asieipenda hii team ahame jamani sio kupiga makelele tu . Team zipo nyingi za kushabikia .. Namungo FC ya Lindi inahitaji mashabiki.. Acheni kuendelea kushabikia team inayowapa stress na Mawazo .. Mtakufa ..


Huku tuachieni viumbe wenye mioyo iliyojengwa kwa cement ya Tanga .. Hatusikii hatuoni ..


Mimi naamini baada ya kumuondoa nduli "Morinyo" team itanyooka tu ni suala muda , kazeni mioyo. Tembeeni vifua "Mbere"


GGMU
 
Sheria mpya inasema kuwa goli lolote halitakubaliwa ikiwa mkono ulihusika kugusa mpira.....na goli la gabriel lilionesha wazi kuwa mpira ulianza kushikwa kwanza kabla ya mfungaji hajaukwamisha wavuni
Mashabiki mandazi wanajua kushangilia magoli tu
 
hata enzi za LVG kulikuwa na rotation kwenye kupiga penati, ukikosa hutapiga tena mpaka wenzio akose Mata, Rooney, Herrera, Martial wote walipiga penati kwenye msimu mmoja
 
mpaka dk 39 United ilikuwa imepiga pasi 334 wakati Wolves wao 108+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…