Mechi ya Liverpool nayo kiungo ya Chelsea iliwafunika Liverpool?
Binafsi naona kiungo chetu kilifunikwa sio down to individual Andreas, Scot na Paul bali ni namna Chelsea wanavyo approach game.
Pia inabidi tuweke kumbukumbu sahihi, Chelsea walikuwa bora katikati kuliko United kwa dakika 20 za mwanzo, the rest ilikuwa fifty fifty na mwishoni, United tuliwafunika kabisa.
Ndio maana hata game ya Liverpool, Chelsea walikishika kiungo sababu ya style of play. Siwezi amini kuwa midfielders wa Chelsea ni bora kuliko wa Liverpool