Jamaa soon watamrudisha Benitez
Van Persie yupo?
kaka hiyo ni given.//Kama unaenda kwa step hakuna tatizo najua utaweza kuangalia dakika zote 90
Baadaye najua utakuwa upande wetu no matter what. Naona vijana wa Liver wanawafanyia sivyo kabisa. Sioni mnachokicheza. Au ni kwa sababu ya kukosekana kwa Scholes na Rooney?Eishh!! Rejao give us a break bwanaa..usituombee kipigo, hujui na nyie mna mechi leo leo!! khe khe khe
Liverpool wakienda half time bila goli ngoma yao itakua ngumu baada Ferguson kutembeza bakora locker room
Bora useme wewe nkisema mm wanasema majungu.liverpool anawaonea sana manure ... vipi wakuu
Baadaye najua utakuwa upande wetu no matter what. Naona vijana wa Liver wanawafanyia sivyo kabisa. Sioni mnachokicheza. Au ni kwa sababu ya kukosekana kwa Scholes na Rooney?
Refa keshaharibu mpira!!
Dah kweli leo man u mnabebwa daaah.....