Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Van persie atawasaidia leo Man united kufuta uteja kwa liverpool
kaka liverpool ni vibonde tu, wakijitahidi sana hapa leo ni droo. it has nothing to do with RvP. vp mmeshaandaa kapu la magoli kule Itihad? rafiki yangu mwarabu hapa ananitonya andaeni makapu matatu.
 
Nimetia kambi rasmi hapa...Liverpool naomba muwaadhibu hawa wapiga kelele wa mashambani!!
 
PAbaya wapi BJ.... wacha kuleta sababu....koz una weza access Internet then u can stream it live........unless unataka link nikupe fasta.....

Mmh! wewe nawe unataka tufungwe ufurahie..haya nipe hiyo link nione live stream, kiukweli nipo bapaya! he he

Mtani unaogopa hata kuangalia mechi? Ha ha ha

Aah jamani mtani mie tena niogope kuangalia, ha ha..(ila kiroho kinadunda fulani)..sipo sehemu nzuri na imeniharibia kabisa kucheki mechi!!
 
@BelindaJacob najua unaangalia huu mchapo mkali sana....usiangalie kimya kimya lol! zuka hapa jamvini....itakuwa poa sana L'pool wakiwachapa lol!....Dua la kuku siku nyingine humpata mwewe hahahahah. Dakika ya tisa 0-0
 
I can see that kid from Kingston Jamaica anavyokimbiza EVRA...
 
Kumbe umezuka leo haya enjoy the game 🙂

Mmh! wewe nawe unataka tufungwe ufurahie..haya nipe hiyo link nione live stream, kiukweli nipo bapaya! he he

Aah jamani mtani mie tena niogope kuangalia, ha ha..(ila kiroho kinadunda fulani)..sipo sehemu nzuri na imeniharibia kabisa kucheki mechi!!
 
kaka liverpool ni vibonde tu, wakijitahidi sana hapa leo ni droo. it has nothing to do with RvP. vp mmeshaandaa kapu la magoli kule Itihad? rafiki yangu mwarabu hapa ananitonya andaeni makapu matatu.
Liverpool vibonde wa timu nyingine kasoro Man United.

Mwambie mwaarabu hilo kapu ataishia kubebea tende.

Arsenal 2 Man City 1. ,
 
Ni Mechi ngumu ile nina wasiwasi na ngome yetu pamoja na kuwa mpaka sasa tumefungwa goli moja tu. Tukitulia tunaweza kushinda mechi hiyo baadaye leo

Eishh!! Rejao give us a break bwanaa..usituombee kipigo, hujui na nyie mna mechi leo leo!! khe khe khe
 
BelindaJacob najua unaangalia huu mchapo mkali sana....usiangalie kimya kimya lol! zuka hapa jamvini....itakuwa poa sana L'pool wakiwachapa lol!....Dua la kuku siku nyingine humpata mwewe hahahahah. Dakika ya tisa 0-0

Kweli Arsenal mlivyolizingira jukwaa hili itanibidi nipotee mpaka dk. 90...yaani mmetuchachamalia ipasavyo BAK. subirieni na mechi yenu, leo mnalo!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom