teh teh teh
itapendeza zaidi kama mechi yetu dhidi ya man city ikasogezwa mbele zaidi kama ratiba ya simba sports club.
majirani zetu muna timu kubwa sana ila next week munakutana na kisiki kilichojiimarisha zaidi msimu huu.
timu kama spurs wanamsajili fundi lo celso ambaye kuna uwezekano wa kujenga ushirikiano mkubwa na eriksen kama ataendelea kubaki huku upande wa pili wanampotezea bruno fernandez ambaye angelijenga muunganiko mzuri sana na paul pogba.
radika soma hio. Pia nikukumbushe Pogba ana two assists, Perreira ana assist moja na ndio alipora mpira akampa Pogba aliepiga killer pass to assist Rashford
radika soma hio. Pia nikukumbushe Pogba ana two assists, Perreira ana assist moja na ndio alipora mpira akampa Pogba aliepiga killer pass to assist Rashford