FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Sure kunahita shuffle flan in-between dalot na shawHatari kama ndiyo anatafuta kibarua cha kucheza soka, natumaini ole awaze vizuri na kumpa Dalot namba saba hii Wan Bissaka haina mpinzani kabisa


