Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Michael-Carrick-Manchester-United-Galatasaray_2830866.jpg

Michael-Carrick-Manchester-United-Galatasaray_2830872.jpg

Michael-Carrick-Manchester-United-Galatasaray_2830876.jpg
 
Ina maana nyie Man utd's mpaka mmfunge ndo mnang'aa hapa au??? Mbona ham comment kuhusu Nani's Penalty?????????? Hahahahahaahahahahaahaaaa
 
Baada ya RVP,Chicharito na leo NANI anakosa penati,penati ijayo bora apewe golikipa apige
 
Ref kawanyima Penalty asee.... Then on the other end Gala wamekosa nafasi ya wazi kabisa kusawazisha asee.....
 
Yule sijui ndo 2nd ref au sijui hata ana kazi gani.... Ina maana hakuona Kuwa Valencia kafanyiwa madhambi pale..... Au ndo UEFA nao wanacreate ULAJI tuu... Yaani kaangalia tuu as if Nothing hapenned.....That was a Penalty kabisa... Japo siwapendi UTD but i like Justice....
 
kafuta makosa na Gala wamenyimwa ya wazi kama hiyo
 
FT 1-0 Man U kidedea.. Questt umeanimini nilikwepo mwanzo mwisho ee?!! nite
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana UTD's..... Hii game mlitakiwa mshinde za kutosha na Penalty mbili ref kaminya still ile aliyowapa haikua sawa.... All in All Point 3 safi kibindoni.... HONGERENI SANA.... Tukutane J2 mkiwa na L'Pool... Hope SUAREZ will finish u up......ADIOUS
 
Back
Top Bottom