OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hii manure inakufa taratibu kama Ac Milan..Kama mpaka fa wamewapa muda wa nyongeza man u wafanye usajili kisa tu huyo shoga alikua likizo basi kuna tatizo kubwa sana klabuni pale mimi na wew hatulioni....fa washaliona anguko letu waziwazi na hii fair ni only united ndio tumepewa hakuna na haitatokea timu yoyote kupata upendeleo huu
Tena hamna Herrera wala lukaku mtaachwa kwa point sio chini ya 50Msimu uliopita aliechukua ligi alitupita kwa pointi 32
Msimu sijui itakuajeView attachment 1177016
Kila timu ipo mkuu, hata Yanga ipo. Lakin mupo kweny khali gani? Mutapata tabu sana mkuu. Ngoja jumapili tuwaoneshe jinsi mlivyo na likikosi libovu..Huyo herrera mwenyewe hakuwa akicheza mechi zote. So sidhan eti man u itatetereka sababu ya herrera. Wameondoka wachezaji wemye impact kubwa kulikk herrera na bado.man u ipo.
Hahaha mkuu unaomba kujua first XI yenye Masho na lingadi??Naomba kujua first eleven ya New season
Hao ni mashabiki wengi walioanza kuishabikia united baada ya kumaliza form 4Martial kuvaa tu hii jezi, itampa confidence ya kutosha hata kama mechi hazijaanza bado!
Nyie si ndio mlikuwa mnamponda lukaku Leo imekuaje tena mnamkumbuka?!!! ... WanafiQ ninyi ... Gel Out hiatulia wewe ..Hivi hii manure tangu asepe mzee fargie kuna mchezaji aliyefikisha goli 20??
Hii manure wataanza kwa kasi sana ila baada ya gemu kama saba iv au nane wataanza kupotena apa..Wewe hauna Lukaku, hauna Herrera una Masho na uyo Rashidunategemea kushindana na big giants kama Chelsea au Liverpool. Uyu ole akatizi October atakuwa amefukuzwa.
Hata wewe ukifa sio habari ila mzee Bakhesa akijikwaa na kuumia mguu ni habari dunia nzima ..Kuna timu imeshinda nne huko hata sio gumzo duniani...
Gumzo ni martial kurudishiwa namba tisa yake
Kila timu ipo mkuu, hata Yanga ipo. Lakin mupo kweny khali gani? Mutapata tabu sana mkuu. Ngoja jumapili tuwaoneshe jinsi mlivyo na likikosi libovu..
Lingard hana namba first eleven. Atakuwa anatokea benchHahaha mkuu unaomba kujua first XI yenye Masho na lingadi??
Pique sijawahi kumkubaliHuyu ambae kawa Babu ama pique yule ambae alikuwa hakosi kikosi Cha Dunia?
Pique naaminigi hajawahi kuwa na hadhi ya kuchezea Barca ila kwa sababu ni mzawa tena McataluniaUwepo wa Alves na Puyol ulim'beba sana Peque.
Ukichangia na penzi la Shakira
Guardiola atachemka?!!Washabiki wa man utd mmekata tamaa mapema hata ligi hamjacheza game moja. Tulieni msisahau this is EPL anything can happen. Hii ligi haieleweki wakuu unaweza shangaa umdhaniae atashinda kumbe ndo anayefungwa. Guardiola kachukua makombe mfululizo bila bado mi naamini EPL haina mchawi wake hata yeye na klopp watachemka tu subiri ni muone cha muhimu kila mtu ashinde zake za nyumbani OGS a najua anachofanya muacheni mpeni muda hawa watoto wake wanaweza kufanya maajabu bado na kuwaacha mdomo wazi msiamini.
Remember this is EPL ANYTHING CAN HAPPEN. liverfools wasiwatishe muachieni OGS afanye kazi yake tutamhukumu December.
Hivi hii ishu ni kweli kumbe?Kama mpaka fa wamewapa muda wa nyongeza man u wafanye usajili kisa tu huyo shoga alikua likizo basi kuna tatizo kubwa sana klabuni pale mimi na wew hatulioni....fa washaliona anguko letu waziwazi na hii fair ni only united ndio tumepewa hakuna na haitatokea timu yoyote kupata upendeleo huu
niliweka kama utani ilo kuonyesha udhaifu wa CEOHivi hii ishu ni kweli kumbe?
Mzee wa kujipiga ban,endelea kujifurahisha lkn hali ya timu yako unaijua kimoyomoyo.Mim Nina uhakika kama siyo point sita basi ni nne tutazibeba kutoka man united..
Arsenal tutazuia point nne tu.
Spurs tutazuia point tatu.
Man city point mbili.
Liverpool point mbili.
Top six itakuwa imekamilika, uku kwengine tutakuwa tunakichafua tu hakuna wa kutuzuia mkuu.
Tukutane mwisho wa msimu
niliweka kama utani ilo kuonyesha udhaifu wa CEO
Usiwe mwingi wa hofu mkuu. Ingawaje hakuna binadamu asiyekosea, tuamini maamuzi yaliyofikiwa na Menejimenti ya United kuhusu usajili ni sahihi na yalizingatia maslahi ya club. Ni wataalam kuliko ss na wanazo zana za ku-facilitate maamuzi wanayofanya kuliko sisi.msimu uliopita marcus rashford na antony martial kwa pamoja wamefunga magoli 20 kwenye ligi kuu ya uingereza kama nitakuwa nipo sahihi.
ili tusolve tatizo la ushambuliaji mabwana hao wawili watalazimika kutufungia magoli takribani 40 kwenye mechi 38.
je uwezo huo wanao?
naomba tuzungumze mambo ya soka tukiweka mbele uhalisia na si matumaini ya uongo ya kumpa ahueni mgonjwa mahututi aliyebakisha nusu saa kabla hajakata roho.
nilisema na nitaendelea kusema timu yetu tulipaswa kwanza tuongeze mshambuliaji mwengine atakeyetufanya tuwe na safu kali ya ushambuliaji kama waliokuwanayo liverpool au man city, tulichokifanya sisi ni kumuondolea mgonjwa kifaa kilicho chakaa cha kumsaidia kupumua bila ya kuwa na mipango ya kutafuta kifaa chengine.
sielewi kwa nini timu tajiri kama manchester united wanazidiwa na klabu ya arsenal kwenye harakati za usajili wa mchezaji hodari kama pepe, jamani huyu pepe alipaswa aje manchester united ili aongeze nguvu safu ya ushambuliaji na si arsenal. nyakati za SAF nimewahi kushuhudia timu yetu ikiwa na washambuliaji wanne mahiri kwa miongo miwili tofuti, sielewi kwa nini nyakati hizi imekuwa ngumu.
andy cole + dwight yorke + sheringham + solskjaer
nistelrooy + rooney + saha
rooney + tevez + berbatov + ronaldo
rvp + rooney + hernandez
leo hii tunaianza ligi tukiwa na mshambuliaji asiyekuwa na uhakika wa kufunga magoli 20 kwa msimu halafu kuna wadau wanajipa matumani ya uongo eti tutafanya vizuri.
kuna wadau wameshukuru kuondoka kwa lukaku huku wengine wakimdhihaki kwa sababu ya mwili wake kuwa na uzito mkubwa akiwemo gary neville, lukaku huyu mzito mwenye kg 300 ana uhakika wa kukupa magoli 20 kwa msimu haijalishi timu ipo kwenye kiwango kibovu kama ilivyokuwa msimu uliopita.
kupitia kurasa hii mutakuja kumuomba radhi romelu lukaku kwa aibu na fedheha itakayowakumba.
mume wetu wa soka wolverhampton anatusalimia
Ni vesatile, anaweza kucheza vizuri nyuma ya strikers kwa ufanisi zaidi kuliko Lingard. Anaua kucheza pass za mwisho kuliko Lingard na bado anaweza kuwa sub ya PauloKuna mistake huwa anafanya akichezeshwa mahala pa herrera mfano game ya burnley pale old trafford