Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lets wait n see
 
Mimi naamini msimu huu Spurs na Arsenal ndo wamepiga usajili mkali sana. Hii Man u isiyo na Lukaku wala Herrera nitaibamiza nyingi sana.

Magwaya na Bissaka watacheza kwa presha kubwa ivyo ligi itawashinda mapema.
Harry na Bissaka ni wachezaji wasio na makuu wao ni kazi tu ndugu Ollachuga. Usitegemee kabisa kuona wakicheza kwa presha.

pamoja na kwamba sijaridhika na usajili wa MUFC lakini sijui ni kitu gani kinakufanya uamini una timu ya kuifunga MUFC msimu huu.

Unasahau mwenye timu yake yupo Madrid huko? Luiz ametambua hatari iliyopo ndio maana ameamua kukimbia mapema ili yeye pia aonekane ni pengo 'changifu' katika kumaliza kwenu ligi mkiwa nafasi ya 11.
 
Unajua unashindania makombe mangapi??? Hao watoto na viugoko vyao wataweza pambana na akina ngolo kante au fernandinho....
 
Tutakuwa wapuuzi sana kufanya usajili eti kwasababu timu nyingine zimesajili....tutasajili kutokana na mahitaji yetu
Manchester United haina winga wa kulia inakaribia miaka 10,one of the strength za United huko nyuma ni kuwa na winga wazuri (Beckham,Giggs,CR7,Best) goal contribution upande wa kulia imekuwa ni ndogo sana kwa sasa.Option zilizopo ni Mata(ambaye ni no 10) na mchango wake kwa sasa ni mdogo na Lingard.We have only one creative midfielder (Pogba) akikabwa/akiumia hatuna timu .Our competitors wamesajili kuimarisha matatizo waliyokuwa nayo
 
Habarini za usiku wakuu..
Dirisha la usajiri limefungwa..kikosi chetu ndo hicho..binafsi nilipenda waje wachezaji wengi zaidi lkn naona kocha na bodi wameamua kubaki na hao..

Tufunge mikanda maana tunaingia kwenye msimu mmoja mgumu sana..na sitashangaa tukiretain nafasi yetu pendwa ya 6..pia tukamaliza msimu bila kushinda hata CARABAO CUP.

Mwisho wa siku hii timu ni yetu..tuiombee mema..tuwe positive..GGMU GGMU.
 
Man u anashinda safi kabisa,wazee wa kubet Man u apewe handicap hiyo game
 
Wapiga ramli mumeshaanza mambo yenu. Karibuni sana
Si kupiga ramli kiongozi hii ipo wazi
Hazard, Luiz, Loftus nani mbadala wao? Japo mna ban ila kungetakiwa kuwe na mkakati wa kutouza key players huku hamruhusiwi kuspend big..... Same applies utd wametoa essential players bila replacement.
 
Ole ndo ana mpango kazi wa timu kwa msimu mzima..sio dhambi kutumia vijana ..sisi tungesubiri ligi ianze tuone timu inafanya nini...timu haijengwi kwa dirisha moja la usajiri...mimi simwamini rashford ila naiamin timu nzima kwa ujumla wake
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…