Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Transfer deadline day huwa na drama nyingi . Nakumbuka Rooney tulimsajili dakika zamwisho kabisa
 
Mkuu Ollachuga Anapaswa kieleweshwa kuna mambo mengi sana kwenye soka (hata yanayohusu Chelsea) huwa anaenda chaka
 
Mkuu upo sawa kabisa hapo juu

Ila hiyo Para ya mwisho, nina wasiwasi. So far Ole ni kama amepewa £140m kwa wachezaji 3

Lakini bado tuna mahitaji makubwa kwenye nafasi kadhaa, hasa kwenye creative midfielder position na right wing lakini dalili inaonesha hatutasajili mtu hapo.

Halafu £140m ni danganya toto, maana Rom anaondoka kwenda Inter kwa £70+ hivyo, net spending yetu itarudi £70 unless tusajili leo

Kwangu mimi amount iliyotengwa kununua Wachezaji sio hoja sana, hoja ni kupata watu tunaowahitaji katika nafasi husika

Kwa upande wa beki ya imani kuongezeka kwa Maquire na Wan Bissaka kutatusaidia sana. Ila going forward bado hatupo vizuri kiivyo, Dan James ataongeza kitu lakini tukumbuke ana miaka 21 tu, ametokea championship hivyo bado atakuwa na kaushamba flani
 
Duh Bob Charlton kacheza 1996

Kacheza world cup akiwa na miaka 58

Hii nayo kali
 
Huu mtindo wa kuweka release clauses unaumiza wachezaji wengi sana.
Trust me

Release clause is better than No Clause

If you have a release clause, once timu inayokutaka ikifika dau lazima timu yako ikuuze

Kama huna release clause timu inaweza kutaja dau lolote inalotaka ndio mchezaji aondoke
 
Hili dili la Dybala bado lina ukakasi sana kukamilika kwake aelekee Tot!
Wamekubaliana bei waliyokubaliana, ila challenge bado ni ile ile aliyopata united kuhusu mkataba wake Dybala, image rights zile pamoja na commissions!
 
Oi mmesikia tunamtaka Williams ..striker wa Athletic Bilbao..!?..ni replacement ya lukaku.. Dogo ni mzuri kwa kiasi chake..ana release clause ya £81Mill
Nimemtazama huyu dogo mkuu, United ingekuwa makini ingeongeza hiyo pesa ya Lukaku imchukue. Sioni tukifanya lolote kwa kumtegemea Rashford.
 
According to Cooper ole alidemand Beki wa kulia, wa kati, creative midfield na winga wa kulia. Kama kawaida Woodward kazingua Tena, maana hata hizo 100 zilizokuwa Tetesi hazijatumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…