Hata Striker 1..? Kazi tunayo mwaka huu, na tukumbuke OLE alimalizia game zilizokuwa zimebaki.
Lakini round hii anaanza yeye mwanzo kabisa, EPL sio kitoto .. akicheza Carrick atamalizia kama yeye.
Ngoja mechi ya kwanza Zuma au David Luiz amvunje mguu Pogba,
Timu yetu inahitaji creativity zaidi, kwa muda uliobakia haijalishi anakuja Nani, Eriksen, Bruno au hata midfielder mwengine anaejua kutengeneza nafasi.

Mabadiliko yanaanza na wewe. So mim nafikir wachezaj wakijenga morali na juhud na kushirikisha ndoto zao za kufanya makubwa basi tutategemea kuona makubwa. Kwasabab mm naamin wanaodetarmin ushind kwa game ni players.