Anhaa...umajinuni pia kujifanya hujui kuwa Lukaku ni trash. Angekuwa fundi ungesikia wanamtaka wanaojua mpira. Si wanasema ukipenda chngo huona kengeza.Nilijua "Majinun" kama wewe huwezi kuacha kuja kumponda Lukaku bila facts
Usisahau pia majority ya "world class" players na wachezaji wazuri wa kingereza pia Wanatoka Man U, kuanzia kizazi Cha Kina Charlton na George best, Cha kina Giggs, Beck na Scholes, Cha kina Rooney, Carrick na Rio, mpaka Sasa Cha kina Rashford, AWB na Maguire.Wachezaji wa kiingereza wanapewa airtime sana lakini ni wakawaida sana, mbaya zaidi Man united ndo ina idadi kubwa ya wachezaji hao. Hata Magwaya anaeza kuja zingua apo mbeleni ila kwa sababu ni English man akapewa shavu na media. Bissaka kwa mbali anaeza leta matumain kweli back line yenu..
Dybala anataka Kuja Man U shida ameuza imaging rights, na deal linasema akiondoka Juventus inabidi awalipe hao walionunua imaging rights. Ndio maana unaona anataka mshahara mkubwa Bila Kodi, agent naye anataka hela nyingi ambazo raiola mwenyewe angejishtukia kuomba.Dybala haitowezekana. Ameshakaata katu. Man wenyewe wamemaliza interest na dybala. Labda ericksen
Na wakati huo huo...Tukielekea siku za mwisho mwisho wa dirisha la usajili kwa wachezaji kusajiliwa na vilabu vya England... Naona kuna mind Games (kamchezo) kati ya Manchester united na Tottenham.
Awali vyombo vingi vya kuaminika viliripoti kuhusiana na Manchester kutaka kumsajili BRUNO FERNANDES ila siku kadhaa nyuma ikatoka ripoti kwa mwandishi wa BBC sports kuwa hizo habari za Manchester kuwa na interest na BRUNO FERNANDES ni uzushi since day one. Hasa ikizingatiwa BRUNO anasajiliwa kama kuleta uhai katika kiungo ikiwa Pogba kama atashindwa kutulia na Manchester.
Hatujakaa vizuri siku kadhaa nyuma vyombo vya habari vya kuaminika (Sky sports) wakaripoti kuwa Tottenham wameingia katika mbio za kutaka kumsajili BRUNO FERNANDES na wametuma tayari dau lao. Kumbuka Manchester united hawakuwahi kutuma official bid ya usajili wa BRUNO FERNANDES.
Jana zikaibuka tetesi kuwa ikiwa Tottenham watafanikiwa kumsajili BRUNO FERNANDES basi Eriksen kiungo wao watamuweka sokoni ikizingatiwa yupo mwishoni mwa mkataba wake.
Wakati hayo yakiendelea habari zingine zikaibuka kuwa Manchester wapo tayari kumsajili Eriksen ikiwa Tottenham watakuwa tayari kumuachia.
Kuja aji mkuu. United wametoa official announcement kuwa wame end interest na dybalaDybala anataka Kuja Man U shida ameuza imaging rights, na deal linasema akiondoka Juventus inabidi awalipe hao walionunua imaging rights. Ndio maana unaona anataka mshahara mkubwa Bila Kodi, agent naye anataka hela nyingi ambazo raiola mwenyewe angejishtukia kuomba.
Na Woodward anavyopenda hela hawezi kubali 3rd party wachukue hela za Dybala na timu isifaidike nae.
Kama ameweza kuvumilia Turin (sio mji mkubwa Italia na Kuna baridi) anaweza pia kuvumilia Manchester naamini Hilo.
Habar za hii timu yetu n tetesi tupu wazee, sioni kama kutakuwa na ingizo jipya lolote with just two days left dirisha lifungweTukielekea siku za mwisho mwisho wa dirisha la usajili kwa wachezaji kusajiliwa na vilabu vya England... Naona kuna mind Games (kamchezo) kati ya Manchester united na Tottenham.
Awali vyombo vingi vya kuaminika viliripoti kuhusiana na Manchester kutaka kumsajili BRUNO FERNANDES ila siku kadhaa nyuma ikatoka ripoti kwa mwandishi wa BBC sports kuwa hizo habari za Manchester kuwa na interest na BRUNO FERNANDES ni uzushi since day one. Hasa ikizingatiwa BRUNO anasajiliwa kama kuleta uhai katika kiungo ikiwa Pogba kama atashindwa kutulia na Manchester.
Hatujakaa vizuri siku kadhaa nyuma vyombo vya habari vya kuaminika (Sky sports) wakaripoti kuwa Tottenham wameingia katika mbio za kutaka kumsajili BRUNO FERNANDES na wametuma tayari dau lao. Kumbuka Manchester united hawakuwahi kutuma official bid ya usajili wa BRUNO FERNANDES.
Jana zikaibuka tetesi kuwa ikiwa Tottenham watafanikiwa kumsajili BRUNO FERNANDES basi Eriksen kiungo wao watamuweka sokoni ikizingatiwa yupo mwishoni mwa mkataba wake.
Wakati hayo yakiendelea habari zingine zikaibuka kuwa Manchester wapo tayari kumsajili Eriksen ikiwa Tottenham watakuwa tayari kumuachia.
Sijakuelewa unaposema OLE apigi kelele asikike. Unataka naye alielie kwenye vyombo vya habari kama MOU. Au unatka aandike twitter kama Mashabiki tunavyofanya.Kama kweli man utd inasajili kwa malengo,dybala hakuwa kwenye mipango yetu,imetokea bahati tu. Lakini Bruno alistahili kuja,tatizo la ole hapigi kelele asikike pamoja na sapoti kubwa ya mashabiki wanayompa kuhusu kumpata Bruno.
Ila akishakuja ndio anajisemesha,mwoga sana huyu jamaa. Lakini kuna ile kauli yake moja maarufu tangu julai anaisema 1 or 2 more signings,will be good to go.
Caughtoffside.com hakuna site ya habari hapa mkuu hahahahahahahahahAgreement reached: Fernandes set to sign six-year contract with Man United as transfer deal nears completion
Manchester United are on the verge of signing Sporting Lisbon midfielder Bruno Fernandes, after holding successful talks with his agent.www.caughtoffside.com
Sasa mkuu vvd uwezo wake kitambo tu ulionekana, hata sisi Chelsea tulianza mfukuzia kitambo tu. Club nying kubwa zilimtaka..sasa kwa magwaya naona mumelamba garasa kimtindo, japo kuna game ana perform vizuri tu ..ila Bissaka apo uhakika anaeza kuja kuwa Patrice Evra kama Ole akimtumia vizuri.Haha wa hovyo. Ww na wenzio mliwacheka sana liverpool wkt wanamsajili vvd for 75m$. Leo kawa beki bora.
Kombe la dunia walilobeba England 1996 ivi, kuna mchezaji wa kiingereza aliyecheza Man united alikiwepo? naomba nitajie kikosi kizima cha timu ya taifa ya Uingereza walichobeba WC.Usisahau pia majority ya "world class" players na wachezaji wazuri wa kingereza pia Wanatoka Man U, kuanzia kizazi Cha Kina Charlton na George best, Cha kina Giggs, Beck na Scholes, Cha kina Rooney, Carrick na Rio, mpaka Sasa Cha kina Rashford, AWB na Maguire.
Hata Mafanikio Yao ya Uingereza yanatokana Man U, World cup pia ilitokana na sisi ile trio yetu (wawili England)
Nimekuelewa sana tu mkuu. Ila kuna namna ya kulisema wakati wa mahojiano na waandishi wa habari lisilete taswira mbaya kati yake na mwajiri wake.Sijakuelewa unaposema OLE apigi kelele asikike. Unataka naye alielie kwenye vyombo vya habari kama MOU. Au unatka aandike twitter kama Mashabiki tunavyofanya.
Unasahu kuwa OLE ni muajiriwa, kuna means of communication anatakiwa kuzitumia pale anapotaka kuwasiliana na mabosi wake.
Kocha yeyote akianza kufanya hivyo unavyotaka, tayari fahamu kuwa uhusiano wake na mabosi wake si mzuri. Na hii ni hatari kwa ustawi wa timu.
Wapo lakin tumesha sajili replacement?
Mimi nadhani kama OLE anakaa chini na ED, na wanaongea mapungufu ya timu, hakuna haja ya kuja kwenye vyombo vya habari kusema, haina msaada wowote.Nimekuelewa sana tu mkuu. Ila kuna namna ya kulisema wakati wa mahojiano na waandishi wa habari lisilete taswira mbaya kati yake na mwajiri wake.
Mara nyingi swali la usajili linapoulizwa,yeye huwa anakimbilia kusema wachezaji alionao wanamtosha,matokeo yake inafikirika kuwa usajili wa Bruno au kiungo yeyote unachagizwa zaidi na fans au media kuliko mahitaji yake. Ndio maana ed alikuwa atuletee dybala na inshu ya kiungo/Bruno ingesahaulika.
Yeye ole huwa anasema one or two more signings is enough. Hayuko specific sana na eneo letu la kati kuwa kuna void pale.
Sijawahi kusikia akionekana kuongelea shida ya nafasi yetu ya kiungo.
England hajabeba 1996 Ni 1966 na wachezaji wa Man U waliokuwepo Ni KamaKombe la dunia walilobeba England 1996 ivi, kuna mchezaji wa kiingereza aliyecheza Man united alikiwepo? naomba nitajie kikosi kizima cha timu ya taifa ya Uingereza walichobeba WC.
Ole ana mifumo miwili Mara nyingi.Nimekuelewa sana tu mkuu. Ila kuna namna ya kulisema wakati wa mahojiano na waandishi wa habari lisilete taswira mbaya kati yake na mwajiri wake.