Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Smalling hana uwezo wa kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma. Jamaa ni shit akiwa na mpira.
Kwnye hiyo sifa, kama sio wa mwisho ni wa pili kutoka mwisho.

Still kwa ujumla Smalling ni bora kuliko jones, Rojo.
 

Kuna key issue hutaki kuizungumza kabisa (Rojo ni injury prone & he makes many individual error).Last season amerudi game against Arsenal na akafanya big mistake
Huwezi kumtegemea mchezaji while most of the time yuko nje,unaweza angalia injury record yake hapa

OGS anacheza 4-3-3 hatumii kabisa mfumo wa 3 centre back (Conte,Allegri ndio mfumo wao)


Msimu wa defence ya United kufanya vizuri ni 2016/2017 au 2017/2018 ?
 
Back up defender anatakiwa kuwa reliable sasa Jones na Rojo Mara nyingi wako vitandani kutibu majeraha bora kuwaondoa ukambakiza anayeweza kuwa fit season yote na defence mistakes zake siyo nyingi kama hao kina Phil Jones
 
Tuanzebe jembe
 
Smalling yupi huyo anaezungumzwa? Hebu weka picha labda auo huyu ninaemfahamu..
 
Blind sijui Mou aliingiwa na peoo gani
 
Mkuu ni sawa, ila ndio yupo mwenyewe na akiuzwa inabidi ije replacement, na kuuzwa kwa Rojo hakubadilishi fact kwamba Kati ya Baily, Jones na Smalling anatakiwa aondoke mtu. Sababu upande wao wa kulia wamejazana wengi zaidi. Bila kusahau pia wanazibia youngsters chance za kudevelop watu Kama kina Tuanzebe.
 
Th
To be honest timu yetu bado imejaa deadwood wa kutosha na the best option ni kuwaondoa na kuleta wengine wenye uwezo zaidi .Klopp/Pep kazi waliyoifanya kwanza ni kuondoa wachezaji mizigo wote na financial klabu inao huo uwezo
Atletico Madrid wamesajili wachezaji 8 msimu mmoja baada ya kuondokewa na wachezaji 5 waliokuwa wanaanza
 

Kuna watu walisema haiwezekani kununua wachezaji 5 ndani ya msimu mmoja!!!
Kuanzia wamiliki hadi mashabiki wa Manchester united wamegeuka wajasiriamali ndio maana hoja zetu zimebezi sana kwenye kuangalia unafuu wa bei kuliko ubora wa mchezaji.Ed anatekeleza tu.
Target zetu zimekuwa cheap sana kwa kisingizio kuwa wanaipigania badge ya klabu kuliko kinyume chake.
 
...kuna rumors Kwamba BRUNO FERNANDEZ anataka kujiunga na Spurs..lets hope its not true!!
Man utd tunazingua hata jamaa akienda spurs hatuna wa kumlaumu maana tunajishauri sana kiasi kwamba anajiona ni second option. Spurs wamelenga mmoja kwa moja
 
Man utd tunazingua hata jamaa akienda spurs hatuna wa kumlaumu maana tunajishauri sana kiasi kwamba anajiona ni second option. Spurs wamelenga mmoja kwa moja
Tangu dirisha limefunguliwa mpk leo..stori ya Bruno ni hiyohyo lakini hakuna utekelezeji..Man U bado tunahitaji bodi inayojielewa(esp;Director of football)
 
Move out of the way, Phil Jones and Chris Smalling


Harry Maguire is in the house
 
...kuna rumors Kwamba BRUNO FERNANDEZ anataka kujiunga na Spurs..lets hope its not true!!
Nimeona pia tetesi kwamba timu haikuwa na nia ya kumsajili huyo mchezaji bali ni mbinu za kumtengenezea soko. Eti kwamba timu imekasirishwa na tetesi hizo.
😂😂😂
 
Yameanza lini hayo ya Ed kutekeleza Target zetu?
 
Soka huko linachezwa na Liver. City anahenyeshwa mbaya ingawaje wanaenda extra. Liver bado ni moto aisee, lile likocha lao lipo vema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…