Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bruno will Be Lads Soon , Huyo Dybala bora asije tu.

Wote wa muhimu sana kwa mfumo wa solskjaer lingard anakuwa mbele ya pogba huoni kama tunapoteza hapo? Lingard atakwenda bench nafas yake anakaa dybala lakin KAMA dili likiwa sawa

Pia kumbuka herrera kasepa ukimchukua bruno tu means kikos sio kipana bado
 
Narudia tena huyo Dybala hana uwezo wa kumuwekA Bench mata kucheza namba 10 EPL.. Narudia tena EPL .. Narudia Tena EPL
 
Joao Felix's first three games in an Atletico Madrid shirt:

Two Goals
Three assists

Not bad!
FB_IMG_1564726517974.jpeg
 
Kuna habari kwamba Juve wanataka kutupa pia Mario Mandzukic. Sijui kama ni za kweli.
 
Back
Top Bottom