Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,506
- 7,471
Wanaomjua yule kocha wa Atletico watakubaliana nami kwamba ni kocha ambae huwa hasajili magarasa hata siku moja"He's overrated and overpriced" -They said. United mafala huyu dogo walikuwa na tetesi nae wakaona dau kubwa Atletico kacheza kamari ambayo anaenda kutusua siku sio nyingi
El Cholo huwa hasajili magarasa hata siku moja