Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Ole ameshafeli tangu hapo.Habari ya Bruno nayo imezikwa na dyabala!
Napata picha kama tunasajili kibiashara zaidi ndio maana jamaa wanatuweka gizani huku wakiandaa igizo jingine la kupiga piano au gitaa kabisa ili Instagram ifulike likes na views.
Ole angekuwa si mwanasiasa,angekuwa anongelea ni kwa namna gani rashford kaimarika kiuchezaji (sio kiuchumi) ili tuweze kukubaliana naye kuwa hana haja ya lukaku au striker mwingine. Au ingizo la mason linaweza kuwa sababu ya yote haya huku akijificha kwenye kivuli cha sanchezi atarudi kama namba 9 machachari.
Msimu wa 7 huna winger ya kulia halafu una relax kabisa.
Wenzako wana foward wa kueleweka sisi tunajitutumua na kina Lingard..