Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Ni mchezaji mzuri ila majeruhi yanamuandama,ndio maana hakuwahi kuanza mech yoyote had alipoondoka.
Sijui kama umeelewa swali lilivyoulizwa
Nani kakwambia ulikuwa mtihani wa taifa ..Haukuwa mtihani wa taifa bro
No 10 wapo wengi sana si tunataka No 9Kama hizi tetesi ni kweli basi man u watakuwa wamefanya usajili mzuri sana View attachment 1166937
Hamna k2 paleNdio
Bissaka ana impact nje y uwanja , na ndo maana akatoa 50 +Kwa hiyo unamaanisha Daniel James na Wan Bissaka wana impact nje na ndani ya uwanja? Au kwa vile bei zao ni chee ukilinganisha na ile ya Bruno?
Majeruhi n kufeli kjnMhh uliniona wap nikishangilia , but Denis hajafail ,ila majeruhi na hakupewa nafasi,
Arsenal wapo vzr ndugu tofauti na Utd, sema hawa arsenal hawajui wapateje point hata kama game wameikamata.. lkn timu yao iko poa kuliko yetu.Kwa usajili wa pepe au usajili gn?
Mc Tominay kala Shavu pes
View attachment 1167161
Haya ndio mambo Woodward anayoyapenda, Sasa hivi ataongezwa mshahara.
Kwahiyo Martial atarudishiwa #No.9 yake halafu Dybala anapewa 11 sio?
Kwahiyo Martial atarudishiwa #No.9 yake halafu Dybala anapewa 11 sio?
Ndio
Hapo dybala hakuna mchezaji wa kiwango hicho sio usajili Mkali kabisa uwezo wake ni wakawaida sana