Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,029
- 51,563
Lukaku bolingol anaondoka anaelekea inter
Replacement yake nani majirani
Jones aliongezewa mkataba wa miaka mitano juzi kati tu hapa..sasa walionegotiate huo mkataba sijui ni wapuuzi gani??Hao akina rojo na jones. Wanafungwa hapo na mikataba. Ndio tatizo linaanzia hapo.
Wanashindwa wawaondoe vip. Na hata wakiwaondoa.. replacement zipo?
Hapo sasa ni suala la usajili. Ed ametengeneza mtego ukambana mwenyewe.. sasahiv anashindwa kujinasua.
Okay,we will see that,,only two weeks remains PL ianzeNadhani namba 9 atarudishwa martial. Lukaku mpira wa man u umemkataa kabisa yaani. Ole anataka kuleta mfumo wa speed kubwa... na lukaku ni mzito.. nahis ni moja ya sababu za kumuachia
Lukaku ni zaidi ya martial mkuu.Nadhani namba 9 atarudishwa martial. Lukaku mpira wa man u umemkataa kabisa yaani. Ole anataka kuleta mfumo wa speed kubwa... na lukaku ni mzito.. nahis ni moja ya sababu za kumuachia
Kumuuza lukaku, utakuwa upuuzi wa karne. Huyo dybala italia tu kumemshinda, EPL ataiweza kweli.Lukaku ni zaidi ya martial mkuu.
Sina wasi wasi kabisa na kikosi changu, japo sitegemei makubwa lakini na imani tunaeza leta ushindani mkubwa tu, kwani msimu huu uloisha tulikuwa na forward gani ya maana sana?Sasa mkuu chelsea ambayo straiker wake ni Tommy Abraham nayo itatusumbua kweli??
Uko busy sana kupambana na timu za watu kuliko unavyoizungumzia timu yako kwenye uzi wenu ule
Haha sasa mimi na wewe nani wa kuonewa uruma mkuu? Mimi najulikana kabisa sijafanya usajili wowote, wewe mwenye chance ya kisajili umefanya nini mpka sasa? Haha uoni kama una khali mbaya kuliko sisi? Chelsea haitegemei forwards kufunga magoli mkuu, sisi sio kama arsenal mnamtegemea Laccazete au Auba tu..Mimi nabet kabisa huu msimu watapata tabu sana, nimeshaandaa kabisa kifurushi cha mwaka kwa ajiri kukesha jukwaa lao ,maana ana kelele sana anasahau hazard aliyekuwa anawaokoa hayupo, straiker jirud na abrahamu, winger zao ni deadwood ,
Kiuhalisia kwa top 6 atakayeshindwa kubeba point 6 kwa Chelsea itabidi ajitafakari amekosea wapi
Greenwood kudadenyering..Nani huyu
View attachment 1164859
Hawana beki Halafu wakasajili beki na kumrudisha kwa mkopoSo far Arsenal has better transfer than United
Akiwa everton yes. but huyu wa man u ni kama kajisahau au mfumo umemkataa.Lukaku ni zaidi ya martial mkuu.
Kumuuza lukaku, utakuwa upuuzi wa karne. Huyo dybala italia tu kumemshinda, EPL ataiweza kweli.
EPL inaanza wiki mbili ijazo , tutaelewana vzrHaha sasa mimi na wewe nani wa kuonewa uruma mkuu? Mimi najulikana kabisa sijafanya usajili wowote, wewe mwenye chance ya kisajili umefanya nini mpka sasa? Haha uoni kama una khali mbaya kuliko sisi? Chelsea haitegemei forwards kufunga magoli mkuu, sisi sio kama arsenal mnamtegemea Laccazete au Auba tu..
Ilikuwa lazima arud kwa mkopo ,ni mashart ya wenye mchezaji waoHawana beki Halafu wakasajili beki na kumrudisha kwa mkopo
Hahaaaaa huyu bwana anajua kabisa hawana forward wala hazard msimu huu,lakin kutwa anadanga kila jukwaa, EPL imekaribia naandaa nguvu za kukesha jukwaa lao
Mimi nabet kabisa huu msimu watapata tabu sana, nimeshaandaa kabisa kifurushi cha mwaka kwa ajiri kukesha jukwaa lao ,maana ana kelele sana anasahau hazard aliyekuwa anawaokoa hayupo, straiker jirud na abrahamu, winger zao ni deadwood ,
Kiuhalisia kwa top 6 atakayeshindwa kubeba point 6 kwa Chelsea itabidi ajitafakari amekosea wapi
Kwa timu yako hiyo ,subiri tuone ,mimi.siongei sanadaah asee we jamaa unafurahisha mno. Maumivu ya EL yamepungua sasa unaanza fujo?
Nausubir msimu ujao kwa hamuu.
So Nicolas Pepe & Paulo Dybala could join Arsenal & United over Napoli/Inter & Spurs respectively.
It's not bout Champions League(Yids), it's bout class!