![]()
Judas Iskari .... ..
Nakuunga mkono kaka, kimsingi tunahitaj mchezaj wa dimba dogo pale kati, watajwa hapo juu hawawez kuimudu vzur, at the end of the day tunabakia kutegemea fowad yetu yenye wakali kuilinda mido na defence kitu ambacho sio guarantee kabisaaa.Tunahitaji sana Defensive midfielder,Scholes sio mtu wa kucheza dk 90,Anderson,Cleverley,Giggs hawawezi kucheza hiyo nafasi.Naona mfumo wa timu umebadilika sana kwa sasa timu haitegemei sana mawinga
Carrick ni defensive midfielder bt alicheza centre back juzi.. Yeye na scholes wangekua kati ingesaidia afu kagawa acheze mbele yao young kulia rooney kushoto RVP kati hapo formation ni 4-2-3-1
nimeamini mchezaji yoyote wa goners akienda manure lazima awe 1st 11
khe khe khe..kimewauma kweli eeh gunners!!
Bravo Manu, angalau tumevuna point leo dhidi ya Fulham.
Tumeshaongea na Mr. Bean anatuandalia kijana mwingine Chamberlein atatua OT 2016,ngoja aendelee kumtengeneza kwanza
Huo mbahatisho unauita winning ways....Back to winning ways... Great results jana na watu walichonga kuhusu RVP mbona wako kimya leo? Mpaka rooney kapigwa bench fanya mchezo nn?
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chikujua mnatamani mambo ya Emirates khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee muwe na adabu basi na Wacha neni na ngebe, then msije anza kutoa bahasha mapema.
Chacha Judas mtampeleka lini kwenye kitanda cha daktari?
Wine Romney atakuwa anapokezana na Judas Iskari.. kwa kuumia
kwenye timu mpya ya Manyu
Hongereni sana Khe khe khe khe kheeeeeeeeeee
Khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee