Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
nimeamini mchezaji yoyote wa goners akienda manure lazima awe 1st 11
Hahaha...wewe lazima asenali.
nimeamini mchezaji yoyote wa goners akienda manure lazima awe 1st 11
Hahaha...wewe lazima asenali.
Kwa washabiki wa Man utd... kwa hii lineup ya leo inaonesha kuwa RvP ni bora kuliko ROO na Welbeck.... Je mnakubaliana nae???
Hapana mipango tu hiyo. Pia inaonyesha how healthier is our forward line.
Ok... So kukiwa na Mipango unaweza anzisha kizuri na kuacha kizuri zaidi nje??? au mie ndo sijakuelewa kaka!!!!
Chief hilo swali anaweza kujibu SAF mwenyewe.
Najua kuwa SAF ndo ajue zaidi ila wewe kama ndugu yangu NZI unaonaje?? Ndiyo maana nililenga washabiki/ Wapenzi wa Man Utd
Vidic "own goal" injury huwa inaua viwango vya wachezaji