Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Link ya Game Na Spurs vipi wakuu
 
Mungu isaidie Man Utd isije ikapata aibu.... Natizama game yake ya friendly na tottenham, inasikitisha. Hatuna future kwa kweli.

Wacha tu msimu uanze mpira duara lakini.
 
Mungu isaidie Man Utd isije ikapata aibu.... Natizama game yake ya friendly na tottenham, inasikitisha. Hatuna future kwa kweli.

Wacha tu msimu uanze mpira duara lakini.
Man united itakuwa na wakati mgumu sana kwenye ligi kuu kama dirisha litafungwa haijasajili mchezaji yoyote wa maana.
 
Mkuu acha izo tuna talent kubwa sana ya youngsters
Ishu sio kuwa na Talents au ma Stars, ishu ni mfumo tu.

Kwani Man utd hapo nyuma kwenye Paper ilikuwa inakikosi cha kutisha ila uwanjani ukikutana nao ni ovyo kabisa.

Sasa kama uchezaji wenyewe uwanjani hauna formular watu wanazunguka tu unafikiri vipaji vitakuwa?
 
Hivi mkuu umeangalia mechi Hata moja ya pre season? Maana majority ya fans wanasifia Timu,
 
Hivi mkuu umeangalia mechi Hata moja ya pre season? Maana majority ya fans wanasifia Timu,
Mechi ya Perth glory na Leeds siyo kipimo cha kusemea timu imecheza vizuri.

Intermilan walitengeneza clear chances za kuscore nyingi tu kiasi kwamba kama unacheza na timu za epl lazima upigwe tu.

Ya Tottenham mimi sijaiangalia ila tusijipe matumaini kwa watoto wadogo kuwa watatuvusha, epl siyo masihara
 
Mungu isaidie Man Utd isije ikapata aibu.... Natizama game yake ya friendly na tottenham, inasikitisha. Hatuna future kwa kweli.

Wacha tu msimu uanze mpira duara lakini.
Ingawaje kweli timu yetu bado si ya kiwango, lakini hayo mashindano hakuna timu inayokamia. Wanacheza at room temperature
 
Hapana Aisee Inter tuliwazidi kila Idara na sisi tulitengeneza nafasi nyingi zaidi, wao walipaki Basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…