Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Danny amenunuliwa kwa makusudi yepi sasa
Ni mtoto na Ana potential, work rate yake ni kubwa na anafit profile ambayo Ole anaitaka, hasa Mpira wa speed na counter Attack. Uliona mechi ya Leeds ile counter Aliyogonga mwamba? Beki alikuwa Kama anatembea vile. Unaweza kuangalia hapa
 
Dunia inaenda kasi sana
JAMES ,RASHFORD, MARTIAL kwa safu hii na nyie kabisa mnajihesabu kichwani mnategemea kombe msimu ujao nyie watu mnautani na mpira sana.
Naangalia hii mechi ya Inter milan nabaki kucheka tu
 
Mkuu nimekuelewa sana especially Para ya kwanza, mimi pia nipo hivyo, hata Jose nilimsapoti enzi zake

Hata Ole namsapoti hadi leo, lakini isinizuie kutafakari maamuzi yake critically

Mfano wa Van Nestroy ni mzuri lakini hauendani na mazingira ya United ya sasa. Wakati anaondoka alikuwepo Rooney, nafikiri na Saha na wengine

Kwa sasa anaondoka Lukaku anabaki nani kaka? Rashford? Martial? No way, labda tutafute mwingine.

Greenwood is too good, but is too young

Martial is too inconsistent, Rashford is too unsettled in front of a goal

Lukaku anahitaji wingers ili afunge, ni kweli.... Why not buying a winger then?
 
Mkuu kwa ninavyoelewa akiuzwa Lukaku tuna activate clause ya Striker, tetesi zilisema Ben Yedder. Kwa club kubwa Kama Yetu hatuwezi kuwa na striker mmoja tu.

Na issue ya winger Ina miaka 7 Sasa hivi, Mou alilalamika Sana, Alimtaka perisic mwisho wa siku Woodward akachomoa, inavyoonekana Club haitaki huo mfumo, ama Kuna Jambo tusilolifahamu ila hapa kwenye winga Woodward anahusika 100%.
 

Kwa usajili wa solskjaer wa utulivu sina shaka nae kwa kweli hata kama tunaweza kupata tabu miaka minne au mitatu lakin kuna kitu kinaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…