Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Hahahahahahahahah... .....CHAMPIONSHIP PLAYER IN UNITED...........MANCHESTER UNITED TO CHAMPIONSHIP LEVELJames ndani ya unitedView attachment 1119807View attachment 1119810
Hahahahahahahahah... .....CHAMPIONSHIP PLAYER IN UNITED...........MANCHESTER UNITED TO CHAMPIONSHIP LEVELJames ndani ya unitedView attachment 1119807View attachment 1119810
Mkuu nakuomba kwa heshima zote umuondoe mtumishi wa wa Bwana "Marcus Rojo " katika hiyo orodha ya wahuni wa Tandika ..
Utakuwa umenifanya kuwa na sikukuu tamu kama ukimuondoa huyo mtu kwenye hicho kichaka..
Photo shopJames ndani ya unitedView attachment 1119807View attachment 1119810
MANCHESTERUNITED ARE NEW AC MILAN OF ENGLAND angalia Smalling, Young, Jones ,Lukaku, James sijui Lingard wote hawa in one team Hahahahahahahahah Best team wanasajili Best players
Tafsiri ya kipaji kwa watu wengi ni mchezaji kuwa "flair player"Ili swala la kusema mchezaji fulan anakipaji wakati kipaji chake hakitusaidii ni upuuzii n muda wa MAN U kusajili wachezaji sahihi kwa nafasi sahihi tena bila kujali watu wenye majina makubwa tunahitaji mashinee za kupiga kazi na kuleta mafanikio...tangu nianze kusikia sijui flan anakipaji sijui nn...United inatakiwa irudi enzi za babu fergiii anasajili mtu kwa kazi na ushindi wale kina flechaa,carrick,Neville,brown,valencia hawakuwa na vipaji lakn walipiga kazi mwanzo mwisho tukanyakuwa vikombe kazawakaza....kipaji tupia Kuku akuleeView attachment 1119806
Nimemuangalia mechi ya Portugal na Switzerland ana jicho la 3 la kupiga killer pass hataritetesi za bruno fernandez zimenipa furaha kubwa sana
Mkuu Daemusin,tuombe zisiishie kuwa tetesi tu maana hata man city wamemtolea macho.tetesi za bruno fernandez zimenipa furaha kubwa sana
Biashara ya karangaHivi humu mnajishughulisha na nini?
Manchester United imeshaishiwa mipango huo ndio ukweli tofauti yenu nyie na Arsenal ni jina tu





Nyie maibilisi wekundu,mmepoteza dira kabisa,yaani mmeanza kutafuta wachezaji hadi Swansea?


