severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,404
Umeeleza vema ndugu!Hope mkuu unafahamu fernandez ndio mchezaji bora wa ligi ya portugal msimu uliopita (17/18) na pengine akawa bora pia msimu huu. Mara ya mwisho mchezaji bora wa portugal kuja ligi ya uingereza alikuwa ni matic.
Pia fernandez sio one season wonders amekuwa mchezaji bora misimu miwili mfululizo na pia kabla ya hapo amecheza udinese na Sampdoria ambako kote alicheza vizuri.
Jamaa ni complete midfield anacheza kama kiungo mkabaji, kiungo wa katikati au hata nyuma ya striker kama kiungo mshambuliaji ama no 10.
Anafunga magoli kama striker, japo anatokea nyuma ligi ya ureno katupia 20, anatoa assist pia anazo kama 13 bila kusahau anakaba sana. Jamaa kavunja record ya ufungaji magoli kwa midfield si Yaya toure wala Midfield yoyote amewahi funga magoli kama huyu jamaa. Stats zake ni almost unbelievable.
Jamaa hapa amemchambua vizuri.
Mtu kama joao felix anataka timu yenye Watu kama Ngolo kante, uchezaji wake ni Kama ozil ama Kaka, uki pair felix na Fred/pogba sidhani kama itafanya kazi. Ligi ya spain na Timu kama Atletico inafit sana style yake.
Angewauliza wanaomtaka kumnunua
Maldini alishawahi sema, 'if a player has to make a tackle that's because there was already a mistake'Lakini vipi kuhusu tackling, interceptions n.k?
OGS destroyed all of the club's projections after he was confirmed as permanent manager.
He started talking shits after his boys. It has been very
naiveté of him
Mkuu nimesoma online hapa Barcelona watawalipa Valencia 30 mwezi huu na Valencia watazirudisha hizo hela tarehe 1 july. Hivyo Barca wanawasaidia wasifungiwe. |
Kwanini mkuu?Usajili wa huyu dogo sijui ni wa kuufurahia..... Yaani bado sijajua View attachment 1139560
Mimi sitamlaumu wakija watatu, CB, right wing na midfield. Timu yetu itakuwa imekamilika.bangi za daemusin
danny james = pendekezeo la OGS kwa asilimia 80
wan bissaka = pendekezo la OGS kwa asilimia 80.
nakumbusha bado wachezaji 2 - 3 tufunge usajili na wachezaji wanaohusishwa kwa sasa
sean longstaff = pendekezo la OGS kwa asilimia 80
bruno fernandez = pendekezo la mashabiki kwa asilimia 60 na OGS
james maddison = pendekezo la daemusin na OGS
maguire = pendekezo la waingereza na OGS
mambo yatakapokwenda ovyo musije mukamlaumu mjomba wangu ed woodward, natahadharisha na mapema mwaka huu nitawashughulikia wale wote watakaomdhihaki mjomba wangu mpendwa.
nilisha waambia kuweni makini sana na target zenu munazompelekea ofisini kwake, nilizungumza mapema kwa niaba yake tutasajili winga mmoja tu hivyo basi tafuteni target ya uhakika, musije mukafikiria tutamwongezea douglas costa au hakim zeyech msimu huu cha ajabu mukatia pamba masikioni.
right wing tumeshamsajili danny james na ndio maana tetesi za kutafuta winga mwengine hazipo.Mimi sitamlaumu wakija watatu, CB, right wing na midfield. Timu yetu itakuwa imekamilika.
James ni wa kushoto japo anacheza kulia pia. Ingesajiliwa source ya magoli kulia ingekuwa vizuri zaidi.right wing tumeshamsajili danny james na ndio maana tetesi za kutafuta winga mwengine hazipo.
midfield ningependa kumuona bruno fernandez anasajiliwa lakini tatizo dau lake kubwa kwa bwana ed woodward hivyo basi si ajabu klabu kumgeukia mtoto wa kiingereza anayeitwa sean longstaff
Nyie pia mnaongea? Keita kaja kwa ngapi vile?
Sisi na nyie hatuchekani, Atleast Spurs Ama Arsenal Kidogo wanaweza wakajisifu. maana mna Rundo la maflop kina Ings, Caroll, lambert, Balotteli, benteke, Grujic, karius etcSame as Fred
mkuu lakini wao hiyo hatua kwa kiasi kikubwa wameshaipita lakini kwetu sisi bado tunaendelea nayo.Sisi na nyie hatuchekani, Atleast Spurs Ama Arsenal Kidogo wanaweza wakajisifu. maana mna Rundo la maflop kina Ings, Caroll, lambert, Balotteli, benteke, Grujic, karius etc
Yah kiasi fulani, ila kina karius na Keita sio wa zamani.mkuu lakini wao hiyo hatua kwa kiasi kikubwa wameshaipita lakini kwetu sisi bado tunaendelea nayo.
maisha yote anayeshinda vita ndiye mwenye haki ya kuandika historia haijalishi ni uongo.
nimemkumbuka david ngog, lazar markovic pamoja na alberto aquilani
teh teh
Chief,nilidhani keita sio flop!! Au keita mwingine?Yah kiasi fulani, ila kina karius na Keita sio wa zamani.
keita na fred ni ndugu wawili wasiojuanaYah kiasi fulani, ila kina karius na Keita sio wa zamani.
Aaah
Mkuu nimesoma online hapa Barcelona watawalipa Valencia 30 mwezi huu na Valencia watazirudisha hizo hela tarehe 1 july. Hivyo Barca wanawasaidia wasifungiwe.