Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Alipokuwa juve, alikuwa anachukua ndoo za italia

Akiwq timu ya taifa, kafika fainali ya euro na pia kachukua world cup

Akiwa man u anaonekana hajui kitu, na wakati kila mtu anajua kwamba pogba hajazungukwa na word class players kama yeye pale OT.

Hii case ni kama ya Lukaku( mzuri akiwa national tim na mbovu akiwq Utd)

Ngoja pogba aondoke ndipo tumtafute mwingine anayeiharibu utd
Screenshot_20190616-182936.jpeg
 
Tatizo kubwa lipo kwenye attitude

Kwenye kiwango anacho lakini nadhani ni overhyped

Hata mechi za National team anacheza vizuri lakini sio kama anavyoelezewa.

Mtu akishushwa leo kutoa mwezini akielezewa kuhusu Pogba anaweza ku imagine Pogba yupo level za Hazard, De Bruyne, Ronaldo, Neymar, au mtu mfupi Messi

Ukweli ni kwamba, kwa kiwango Pogba amezidiwa au yupo at per na wachezaji wengi sana ambao hawana aura ya Pogba. Nitakutajia, Pogba amezidiwa na Ericksen, De Bruyne, Modric, Kroos,Dembele alitoka Spurs kwenda China n.k.

Nimeacha kuwataja wanaoibukia sasa hivi kwa makusudi ili kukwepa mjadala mwingine

Statistics za Pogba zinadanganya sana, mfano kwa msimu uliopita amekuwa ana Magoli mangapi pale United? 13/14 zaidi ya nusu ya hayo Magoli akiwa amefunga umbali wa hatua 12 kutoka golini bila kukabwa (penati). Kati ya penati alizopiga amekosa penati 4, ni midfielder wetu, amefanya interception ngapi kuwaharibia wapinzani wetu? Chache mno.

Sijasema Pogba ni mchezaji mbovu, lakini si mchezaji tunayesimuliwa. He is an average player. Kati ya 100% he is 60% player, no more may be less.

Above all, ni kirusi, mvivu, inconsistent na haeshimu United Badge. ANAPASWA KWENDA.
Sijui umetumia vigezo gani kumlinganisha na hao wachezaji hapo juu wakati ni vitu tofauti kabisa. Pogba ktk namba 6 work rate naamini kazidiwa na viungo wote Wa epl hadi Wa timu zilizoshuka daraja. Ni mchezaji asiyejituma kabisaaaa hata scot mctominay huwezi mlinganisha nae kabisaaaa
 
Kleberson, Anderson, Teves, Veron hawaku-flop. Walikuwa vizuri tuu. Veron majeraha, Teves ni nidhamu
Mkuu umeelewa swali kweli??? Nimekwambia na sisi tukutajie walioflop ?? Wewe unanitajia wachezaji unaojua wewe..

Narudia tena kuuliza "NA SISI TUKUTAJIE WALIOFLOP"
 
Mkuu umeelewa swali kweli??? Nimekwambia na sisi tukutajie walioflop ?? Wewe unanitajia wachezaji unaojua wewe..

Narudia tena kuuliza "NA SISI TUKUTAJIE WALIOFLOP"
Chief hatulumbani, km wapo si unawataja alafu tuna-argue tuu, shida ipo wapi? Hauna sababu ya kuniuliza, ni uhuru wako kutoa ambacho akili yako inakuonesha kipo sawa.
 
Sijui umetumia vigezo gani kumlinganisha na hao wachezaji hapo juu wakati ni vitu tofauti kabisa. Pogba ktk namba 6 work rate naamini kazidiwa na viungo wote Wa epl hadi Wa timu zilizoshuka daraja. Ni mchezaji asiyejituma kabisaaaa hata scot mctominay huwezi mlinganisha nae kabisaaaa
Nyie mnaleta mzaa.
 
Na kuondoka kwake kutaathiri timu uwanjani na sokoni

Woodward anabip kila mchezaji anatulia bila kujali muda.

Kupata msaidizi kashindwa au hataki maana haiwezekani dunia hii haina technical director wakufanya kazi Man united, ni woodward pekee anayeliamini hili
Ila hata OGS na he's too cool hata basi kutoatoa vitetesi tufarijike katulia tuliii Mou hapo ungeona mikwara yake
 
Ila hata OGS na he's too cool hata basi kutoatoa vitetesi tufarijike katulia tuliii Mou hapo ungeona mikwara yake
Nafikiri OGS naye kaanza kupata wasi wasi juu ya utandaji kazi wa Woodward katika usajili.

Ikishindikana kupata target zake hata kwa wachezaji wa kawaida atatamani kuikimbia club maana atakuwa kwenye sacking zone ya Woodward.
 
Siwezi kumlaumu sana Pogba kwani ana miaka mitatu sasa tangu tumchukue toka Juventus kila msimu anaonekana wa kawaida kwa kucheza na vilaza then mwisho wa siku lawama zote kwake. Usajili unaofanyika United ni ucheshi na timu haina malengo kabisa

Sitashangaa kama ataenda Madrid
Timu inatutesa sana hii
 
Back
Top Bottom