Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mmmh
Screenshot_20190615-200002.jpeg
 
juventus ni mabingwa wa kusajili wachezaji walio huru hivyo basi sitoshangaa rabiot kutimkia mitaa ya turin.
nani asiyependa kucheza na cristiano ronaldo?
Rabiot anaweza kwenda Juventus kwa sababu woodward hatakuwa na shida nae tu lakini siyo kwa kizidiwa na Juventus
 
Hivi ole ndo alisema anataka kumaliza usajili mapema kabda ya Julai au nilisikia vibaya?? Maana pre season inaenda kuanza na tumesajili mmoja tu wallahi hii timu inahitaji maombi.
Labda ligi ikikaribia kuanza ndo watasajili wachezaji wakati pre season inakua imeisha.
 
Wachezaji wa south America EPL ni ngumu sana kwao labda ufanye gambling tu ila wengi ni tia maji tia maji

Philosophy ya uchezaji wenu ni mbaya kwa wachezaji wa nje. Liverpool wabrazil wote wamekuja kukuza zaidi viwango vyao badala ya kushuka, watu kama Coutinho, Firmino, Fabinho na Allison

Mbrazil naemkumbuka kuwa EPL ilimshinda ni Alex Sandro tu alipoenda Spurs
 
Hao waliverpool imewachukua muda gani kucope na ligi kama siyo misimu miwili au mitatu ?
Philosophy ya uchezaji wenu ni mbaya kwa wachezaji wa nje. Liverpool wabrazil wote wamekuja kukuza zaidi viwango vyao badala ya kushuka, watu kama Coutinho, Firmino, Fabinho na Allison

Mbrazil naemkumbuka kuwa EPL ilimshinda ni Alex Sandro tu alipoenda Spurs
 
Philosophy ya uchezaji wenu ni mbaya kwa wachezaji wa nje. Liverpool wabrazil wote wamekuja kukuza zaidi viwango vyao badala ya kushuka, watu kama Coutinho, Firmino, Fabinho na Allison

Mbrazil naemkumbuka kuwa EPL ilimshinda ni Alex Sandro tu alipoenda Spurs
Usisahau SUAREZ ingawaje si Mbrazil
 
Back
Top Bottom