Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Longstaff, sidhani kama OGS amechoka kuifundisha United kiasi hicho, after all yule dogo ni defensive, na Pogba ni creative

Mbadala lazima atakuwa creative midfielder, probably tutaongeza nguvu kusainisha Bruno F, Ndombele na wengine wanaofanana na hao

Pogba ni janga pale United

Kinachofurahisha zaidi kiasi cha £120m+ kitaongezeka kwenye transfer budget kuongeza hela iliyopo

Kwa wale ambao wapo desperate Pogba abaki waniambie Pogba amefanya nini katika miaka yake 3 pale United zaidi ya kuleta sumu tu
Mkuu mimi naona Pogba labda tujadili tu attitude yake ila mchango wake upo mkuu..stat si ndo zinaongea??..

Why pogba tu na sio wachezaji wengine??..

Sisi tunataka Pogba achezeje ndo tumkubali??
 
tuombe wiki hii tupate mchezaji mmoja muhimu, dirisha linafungwa kabla ya ligi haijaanza
Kufungwa dirisha mpaka mwanzo wa wiki ya pili ya mwezi Agosti

Tatizo wachezaji wanapaswa kusajiliwa mapema waende pre season

Wakisajiliwa Agosti watakuja ku gain momentum October tushapoteza point za kutosha na story za kocha kufukuzwa zitakuwa zimeanza kurindima
 
Mpaka sasa Ole hana nafasi ya kuendelea kuwa kocha wa Man United mpaka December 25....alituaminisha sana kumbe nae hata target zake hana mara anasema eti kuna maagent wamesema wachezaji wao wapo tayar kuja united hahahahaha...... Ole Ole Ole kwa dhambi hii uliyoichuma kwetu kutamani dirisha hili la usajili lifike sidhani kama tutakaa nawew kipindi cha msiba wako, pindi Ed atakapo kukana na kumgeukia Pochettino kwa mara nyingine
 
Mkuu mimi naona Pogba labda tujadili tu attitude yake ila mchango wake upo mkuu..stat si ndo zinaongea??..

Why pogba tu na sio wachezaji wengine??..

Sisi tunataka Pogba achezeje ndo tumkubali??
Tatizo kubwa lipo kwenye attitude

Kwenye kiwango anacho lakini nadhani ni overhyped

Hata mechi za National team anacheza vizuri lakini sio kama anavyoelezewa.

Mtu akishushwa leo kutoa mwezini akielezewa kuhusu Pogba anaweza ku imagine Pogba yupo level za Hazard, De Bruyne, Ronaldo, Neymar, au mtu mfupi Messi

Ukweli ni kwamba, kwa kiwango Pogba amezidiwa au yupo at per na wachezaji wengi sana ambao hawana aura ya Pogba. Nitakutajia, Pogba amezidiwa na Ericksen, De Bruyne, Modric, Kroos,Dembele alitoka Spurs kwenda China n.k.

Nimeacha kuwataja wanaoibukia sasa hivi kwa makusudi ili kukwepa mjadala mwingine

Statistics za Pogba zinadanganya sana, mfano kwa msimu uliopita amekuwa ana Magoli mangapi pale United? 13/14 zaidi ya nusu ya hayo Magoli akiwa amefunga umbali wa hatua 12 kutoka golini bila kukabwa (penati). Kati ya penati alizopiga amekosa penati 4, ni midfielder wetu, amefanya interception ngapi kuwaharibia wapinzani wetu? Chache mno.

Sijasema Pogba ni mchezaji mbovu, lakini si mchezaji tunayesimuliwa. He is an average player. Kati ya 100% he is 60% player, no more may be less.

Above all, ni kirusi, mvivu, inconsistent na haeshimu United Badge. ANAPASWA KWENDA.
 
Mimi nasimama tu kwenye attitude..

Anyway,,uzuri ni kwamba hata mimi akiondoka sitojali..Cha msingi ni kujiuliza tutapata replacement ambayo itakuja kucover na kuongeza ubora zaidi kwenye midfield??
 
Yaani Madrid wameshashusha majembe ya kutosha,sisi tupotupo tu na pre-season hii hapa..Huyo bruno tetesi zimekufa,saivi naona tupo kwa sean longstaff,Teilesmans

Hivi Rabiot si yupo free tu,kwa nini asije kutupa backup kwenye midfield??

Pogba naye anataka kusepa..damn..next season tusipokuwa makini tutapigwa na kuchakaa
Rabiot is only free till July 1

Huwezi kusikia timu yoyote imemsajili sasa hivi

Namkubali kama mchezaji, ila attitude yake na mama yake (agent wake) vinanipa mashaka kama nimtamani au nisimtamani
 
Mpaka sasa Ole hana nafasi ya kuendelea kuwa kocha wa Man United mpaka December 25....alituaminisha sana kumbe nae hata target zake hana mara anasema eti kuna maagent wamesema wachezaji wao wapo tayar kuja united hahahahaha...... Ole Ole Ole kwa dhambi hii uliyoichuma kwetu kutamani dirisha hili la usajili lifike sidhani kama tutakaa nawew kipindi cha msiba wako, pindi Ed atakapo kukana na kumgeukia Pochettino kwa mara nyingine
teh teh teh alisema kuna wenda wazimu hawatakuwepo tena msimu ujao,
sijasikia tetesi za darmian kuuzwa
siasikia tetesi za marcos rojo kuondoka
 
Mimi nasimama tu kwenye attitude..

Anyway,,uzuri ni kwamba hata mimi akiondoka sitojali..Cha msingi ni kujiuliza tutapata replacement ambayo itakuja kucover na kuongeza ubora zaidi kwenye midfield??
Ameondoka Juve mkuu na wanafanya vizuri sana

Tatizo kwetu labda ni akina Ed kwenye kuleta watu mbadala, lakini wachezaji wazuri wapo wengi sana

Wameshaondoka wachezaji wengi sana United na mapungufu hayakuonekana

Mwaka 1995 kama sijakosea, SAF aliuza wachezaji wake 3 muhimu pale United na kila mtu alishangaa, Ince, Mark Hughes na Kenchelsk winger hatari (sijui nimepatia jina)

Lakini huo ndio ulikuwa mwanzo wa kusajiliwa Cole, kupandishwa akina Beckham na Scholes na kilichofuata kuhusu United kila mtu anakijua
 
Tumekuwa kichwa cha mwendawazimu these days..

Kama tu kupata right back jasho linatutoka namna hii how about Creative midfielder..

Mimi ninachohofia ni zama hizi tulizopo na kocha wetu Ole..
 
Kazi tunayo mkuu, tatizo kukaa na mtu ambaye hakutaki ni jambo gumu

Ila wafanya maamuzi wangekuwa wanaeleweka, tusingeogopa kupoteza mchezaji
 
Mc cane kama uko karibu na mangi hapo,agiza Pepsi bariiidi nitakuja kulipa.
Nilitamani sana atokee mtu kuelezea udhaifu wa pogba kwa ufasaha kama huu siku nyingi.

Labda kitu kimoja ambacho hujakiweka wazi kuhusu biashara ni kwamba pogba hakuwahi kuwa mkubwa hivi kabla ya kuja united,ingawa alikotoka ndiko alicheza mpira mkubwa kuliko hapa united. United ilimtengeneza pp kuwa alivyo leo hii. Mchezaji yeyote anaweza kugeuka becks,Rinaldo au pogba endapo united itataka awe hivyo.
 
Akienda Madrid, ataikumbuka sana heshima anayoipata hapa united kwa wavumilivu. Kiungo cha Huddersfield na Bournemouth kinamshinda kung'aa halafu wanasingizia ana cheza na average players,kweli?
Ronaldo alikuwa anapiga mpira kama hana akili nzuri pale Madrid, siku moja akiwa na bad game anazomewa

Huyu dogo hawajui waispaniola, ngoja aende na inconsistent zake azomewe halafu aflop
 
teh teh teh alisema kuna wenda wazimu hawatakuwepo tena msimu ujao,
sijasikia tetesi za darmian kuuzwa
siasikia tetesi za marcos rojo kuondoka
Mkuu inaumiza sana, kila siku saa 12 mtu unaperuzi kuona labda tumepata hata beki tu kutoka ligi ya uruguay ila hali ipo ovyo, basi hata tuuze wachezaji au tuacheni wachezaji ila ndo tunazidi gawa mikataba kama njugu kwa wachezaji wasio kuwa na hadhi ya kucheza united......

Nadhani hata angekuja Pochettino angepata shida sana kwa style hii....
 
Back
Top Bottom