Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi wakuu hatuwezi kumvuta Ryan Fraser wa Bournemouth, jamaa wa pili kwa assist kama sijakosea msimu huu nyuma ya Hazard. Yaani sitaki kuwaona lingard na Rashford huko mbele, bora smalling na Jones kidogo wanapangua vimpira, ila hao madogo hawafai, Young sijui anafanya nini? Man U yangu.

Kwenye kikosi cha uingereza ninaowaona wanapigania na kupambana ni.

Trent Alexander-Anorld
Jordan Pickford
James Madison
Jamie Vardy

Alafu unashangaa hawapangwi. Sterling ovyo tu kujiangusha anakera. Naskia Mournho anaitaka kazi ya Rafa Beniteze
 
Si hamtaki team isajili waingereza ?

Hao wachezaji uliowataja wote hawana namba first eleven
 
Nimefurahishwa na hizi taarifa kama ni za kweli.
Screenshot_2019-06-10-11-59-25.jpeg
Screenshot_2019-06-10-11-52-32.jpeg
 
Si hamtaki team isajili waingereza ?
Hao wachezaji uliowataja wote hawana namba first eleven

Tatizo ni makocha kupendelea walioflop. Tunataka wanaojituma, pogba ni mfaransa ila akicheza ni Bora Smalling anayefukuzana na messi kuliko nyondo za pobga.

Mkuu kuna makocha sijui vipi. Unafikiri kikosi cha England kingekuwa hivi ingekuwaje.

PICKFORD

SHAW MAGUIRE ROSE ALEXANDER ANOLD

MADISON LOFTUS-CHEEK DEMRAI GRAY

STERLING KANE HUDSON-ODOI

Mimi ni shabiki wa Man U nimeweka niliowaona premier league, Hudson Odoi japo anajitahidi kama winga mshambuliaji kuliko pumbavu lingard.
 
Hao wachezaji uliowataja wengi ndiyo kwanza huu ni msimu wao wa kwanza kuwa katika kiwango hicho sasa unategemea national team nayo ifanyike overhaul kila mashindano.

Tuuzungumzie mpira with a football eye
Tatizo ni makocha kupendelea walioflop. Tunataka wanaojituma, pogba ni mfaransa ila akicheza ni Bora Smalling anayefukuzana na messi kuliko nyondo za pobga.

Mkuu kuna makocha sijui vipi. Unafikiri kikosi cha England kingekuwa hivi ingekuwaje.

PICKFORD

SHAW MAGUIRE ROSE ALEXANDER ANOLD

MADISON LOFTUS-CHEEK DEMRAI GRAY

STERLING KANE HUDSON-ODOI

Mimi ni shabiki wa Man U nimeweka niliowaona premier league, Hudson Odoi japo anajitahidi kama winga mshambuliaji kuliko pumbavu lingard.
 
Km naelewa hapa. Hata mimi hiyo worry ninayo.
Huyu jamaa Ed sijui anatutaka nini? Mbona city na liverpool wananunua wachezaji wa kawaida kwa gharama kubwa lakini wanawabadilisha kuwa world class? Vvd kwa watakatifu pale
 
Huyu jamaa Ed sijui anatutaka nini? Mbona city na liverpool wananunua wachezaji wa kawaida kwa gharama kubwa lakini wanawabadilisha kuwa world class? Vvd kwa watakatifu pale
Hiyo siyo kazi ya ED
 
Mbona Gareth Southgate bado anamwamini Lingard ?

After all Man united kwa sasa kumlaumu individual player tunakosea timu nzima iko katika hali mbaya too disorganized lakini majeraha ya Mara kwa Mara
Lingard atapata nafasi Uingereza tu.

Kwa nchi serious kama Spain, France, Uholanzi n.k. huyo Lingard hapati namba.
 
Pale abaki Martial, Lukaku na Rashford na Sanchez. Watu kama Lingard, Young, Jones na Smalling hawatakiwi kuwepo
Waingereza ndo walitakiwa kuwa wa kwanza wa kuoneshwa mlango wa kutokea.

Hakuna Talent England ya sasa. Enzi za kina Rooney, Rio n.k hazipo tena.
 
Kuna kajamaa kanaitwa Neres ka Brazil ni kazuri ila hakuhusishwi na kudhamia popote
 
Hapana Mimi naamini ni mfumo mzima Wa club ktk kusajili ulikuwa Wa ki asenoaseno yaani Wa kuangalia faida kifedha zaidi,ila kwa sasa wameamua wabadilike na kuendana na mahitaji ya mpira kiasi cha kumsikiliza kocha anachotaka na kumtimizia.
Asenoaseno ndo nn???
 
Asenoaseno ndo nn???
Arsenal wamekuwa hawajali sana mafanikio ya uwanjani wanachojali ni kuingiza mapato zaidi. Mzee Wenger aliwanufaisha sana kwa hilo mana alikuwa akinunua wachezaji kwa hela ndogo sana kisha anawatengeneza na kuwauza kwa pesa ndefu,matokeo yake timu inafanya vizuri sokoni halafu kwenye pitch inazingua
 
Back
Top Bottom