Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Arsenal wamekuwa hawajali sana mafanikio ya uwanjani wanachojali ni kuingiza mapato zaidi. Mzee Wenger aliwanufaisha sana kwa hilo mana alikuwa akinunua wachezaji kwa hela ndogo sana kisha anawatengeneza na kuwauza kwa pesa ndefu,matokeo yake timu inafanya vizuri sokoni halafu kwenye pitch inazingua
Aliwatengeneza ili waje kuwa mastaa wa timu baadaye wasaidie timu....most waliondoka kwa matakwa yao mf van persie,nasri,sagna nk....timu zote zinayapa kipaumbele matokeo ya uwanjani kwanza......
 
Kama ni chaguo la manager sioni kwanini asite kumnunua,watamrudishia lawama kuhusu first targets zake kama akina lvg,mou na moyes
Jicho la Ed lipo kwenye business hzo zingine ni porojo, kocha unaweza kuwa na target zako, tatzo linakuja anauzika,??? Sio ulete mtu ambaye kwanza hana jina hvyo hauziki, na akiwa mdebwedo ndo kabisa inakuwa ni total loss, bora ulete mtu mwenye jina hata kama akzingua uwanjan upande wa pili unasanya mpunga,... Istoshe timu inaendeshwa kwa gharama sana, ko mtonyo ukizingua hata yeye Ed kibarua kitaota nyasi, twendeni taratibu tutamwelewa tu Ed....
 
Huyu jamaa Ed sijui anatutaka nini? Mbona city na liverpool wananunua wachezaji wa kawaida kwa gharama kubwa lakini wanawabadilisha kuwa world class? Vvd kwa watakatifu pale
Kwahyo ED ndio Mwenye jukumu la kubadirisha wachezaji wawe wenye viwango vikubwa
 
Huu ugonjwa sio wa England tu kiongozi ukweli ni kwamba soka Sasa linapoteza uhalisia wake litabaki kwa wasakatonge tu wanaupigania pesa badala ya ile passion ya soka.angalia hata Brazil ya Leo sio Kama ya akina Ronaldo au Gaucho vijana wanafikiria pesa tu Sasa hivi ndio maana unaona wanatanguliza Sana hiyo kitu.siku hizi wabrazil kibao huko China wanachuma pesa.ule upambanaji halisi wa wanasoka unapotea kwa Kasi.
Waingereza ndo walitakiwa kuwa wa kwanza wa kuoneshwa mlango wa kutokea.

Hakuna Talent England ya sasa. Enzi za kina Rooney, Rio n.k hazipo tena.
 
Lets dig down into championship baby..
Screenshot_20190611-195958.jpeg
 
sijui nizitafute zile comment zangu nilizoandika humu ndani kuhusiana na hii ishu lakini itanichukua siku nzima kuziona zile comment.

jamani uvumi wa leo ndio huu, kama tunavyofahamu si kila uvumi una ukweli ndani yake lakini pia si kila uvumi una uongo ndani yake. kwenye hii habari nataka nikae upande wa ukweli kwa sababu dalili zimeshaonyesha tokea zamani kuwa bwana mkubwa hana mpango kwa dirisha hili kumtafuta mwanadamu atakayemkalia juu kimawazo, na hii ishu tumeshaijadili humu ndani kabla ya ole gunnar solskjaer hajapewa kandarasi mpya, wapo walioamini na wapo waliokaa upande wa bwana ed woodward.

Manchester United are not expected to appoint a Sporting or Technical Director this summer. Ed Woodward will remain in charge of transfers. Ed Woodward has failed to identify a No.1 candidate‬ for the job. [mail]

Ole Gunnar Solskjaer and assistant Mike Phelan will be involved in transfer dealings, alongside Woodward and head of corporate affairs Matt Judge. [mirror]

yule member aliyesema ole gunnar solskjaer atasajili target zake kabla ya preseason haijaanza yuko wapi, nina zawadi yake nimemuandalia bila ya kusahau leo ni tarehe 12/06.
1125114

pichani ed woodward akiwa na msomi mwenzake wa masula ya fedha bwana matt judge. Huyu matt judge ndiye negotiator mkuu wa klabu kwenye ishu za mikataba ya wachezaji na mambo mengine.

ukisikia luke shaw anayetoka kwenye majeruhi amepewa kandarasi ya paundi laki mbili kwa wiki jamaa huyu naye anahusika.
ukisikia fred amesajiliwa kwa paundi millioni 50 ujue jamaa amehusika
uksiikia wan bissaka anataka kusajiliwa kwa paundi millioni 60 na mkataba wa paundi laki moja na nusu ujue jamaa huyu anahusika pia.
ukisikia mjinga martial amesaini mkataba wa paundi laki mbili kwa wiki ujue ya kwamba jamaa huyu anahusika pia.

unabaki kujiuliza hawa watu wawili na wengineo walikwenda kusomea ujinga huko shuleni, au walitolewa kwenye maisha ya mavumbi kama professor yule wa harvard university.
Tanayzer ulitaka kibarua apewe nani vileee?
Mc cane una cha kuongeza nilisikia ulikuwa unampigia kampeni darren fletcher apewe nafasi?.

ndani ya mwezi mmoja takribani wachezaji 65 wamevumishiwa kutakiwa man utd
kutoka december mpaka muda huu takribani wanadamu 30 wameshavumishiwa kuajiriwa nafasi ya technical director.
this is manchester united katika ubora wetu.

nimalizie na interview ndogo ya bwana louis van gaal.

What is the problem at Manchester United now?
The problem begins with, of course, that Manchester United was never refreshed. I think when you are a manager you have to refresh every year to keep the team-building process going.

You brought in players. You tried to refresh.
Yes, but I didn’t always get the players that I want. That’s the problem. There is Woodward and his right hand is [head of corporate development] Matt Judge. Judge I met once in a while but not too much. And there was the head of scouting. That was the structure but you are always dependent on Woodward and Judge.

Did they not take your advice?

I thought always Manchester United can buy every player because they have a lot of power. Seemingly a few players were not reachable for Manchester United. I cannot understand but it was like that.

Ángel Di María, was he your choice?
Di María was my choice at AZ, seven years before.😀😀😀

He didn’t sign then . Did you want him for United? Were you happy that he came?
I was satisfied because he was a creative player, but I had other players on the list. Di María had a problem with the English football culture and the climate. You cannot buy players and know, for sure, that they can deliver. You cannot know because football is a team sport.

You said you don’t understand why United have a lot of money and won’t always pay for players. Is that because the Glazers didn’t want to pay?
I don’t know. Woodward is the one who talks with the Glazers. I only talked with the Glazers when they were [attending] a game or training session. Mostly they attend top matches and fortunately, we won a lot of these top matches, in any case against Liverpool.
 
View attachment 1125114

aiseh siku yangu imeishaharibika sijui tunaenda wapi..... Huyu Ed asitake watu tuiombee timu mabaya ushindwe hata kuingia Europa ndo ashtuke kuwa mpira umempita kushoto....
 
Back
Top Bottom