Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapa ndiyo ninapoleta mjadala kuhusu nani wa kulaumiwa kwenye usajili! Je ni Ed? au Ole?

Nakumbuka Liverpool tukiwa na Matajiri hawahawa (FSG) tulionao Makocha waliopita Hodgson, Dalglish na Rodgers walikuwa wskitusainia wachezaji aina ya Henderson, Downing, Allen, Spearing, Charlie Adams, Lallana, Kolo Toure, Lovren na Wapumbavu wengi tu wa Calibre ya hao ambao ni average na wa bei za kununua Nyanya.

Lakini tukiwa na Matajiri hawahawa FSG chini ya Kocha Klopp tunasaini wachezaji wa aina ya Mane, Salah, Allison, Fabinho na VVD ambao ni talented bei zao zinaendana na Soko.

Sasa hapo je tatizo ni Tajiri, CEO, Makocha au Scout teams zinakuwa na udhaifu katika kuidentify Targets sahihi?

Ni wazi kuwa Scout team pamoja na Kocha hawapo vizuri ndiyo sababu ya kusajili failure signings.
Mwanzo nilianza kumuamini Ogs kuwa anajaribu kuijenga manchester mpya kwa kuwaamini vijana wadogo wenye vipaji. Lakini cha kushangaza targets zake unamkuta mtu kama Dier ambaye bench la spurs linajua rangi ya boxer yake.
Nadhani kuna namna hawa walimu wanaoomba ajira huwa wanaahidi kufanya makubwa kwa bajeti ndogo.
 
Kijiji hakikosi wazee wewe... timu gani hapo EPL ina vijana wa 18-25 tu.
Au hujui FRED Alikotoka alikuwa hana sub? (vipi now)
Kwa hiyo hata tukimleta ISCO ni kosa kisa anakaa benchi?...
 
Kama ni kweli, naona kabisa OGS hafikishi chrismass ashaoneshwa mlango wa kutokea.
Screenshot_20190609-045811_Twitter.jpeg
 
Kama ni kweli, naona kabisa OGS hafikishi chrismass ashaoneshwa mlango wa kutokea.View attachment 1122206
Hv kweli tunaamini inawezekana wachezaji wote waondoshwe at a go? Kiuhalisia haiwezekani, kikosi hamuwezi kukibadilisha completely kwa season moja wajameni. Wachezaji wa kuondoka msimu huu mimi nadhani wangekuwa hawa; Valency, Young, Roho, Damian, Jones.Msimu ujao waondoke hawa wasipo improve; Jessey, Rashford, Matic, De gea.
 
Nashangaa, kati ya wachezaji tunao ambiwa wanaachwa, hakuna Muingereza hata mmoja!

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni kweli, naona kabisa OGS hafikishi chrismass ashaoneshwa mlango wa kutokea.View attachment 1122206
Tatizo mnataka atimue wote halafu asajili wapya wote hili haliwezekani timu itashuka daraja tena ndani ya first round tu.

Lazima kuna watu watabaki na kuna wengine wataondoka lakini siyo kwa.mkupuo kama tunavyotaka sisi mashabiki.

Tuwe watulivu Woodward ashindwe kusajili ndiyo tuseme.
 
Hv kweli tunaamini inawezekana wachezaji wote waondoshwe at a go? Kiuhalisia haiwezekani, kikosi hamuwezi kukibadilisha completely kwa season moja wajameni. Wachezaji wa kuondoka msimu huu mimi nadhani wangekuwa hawa; Valency, Young, Roho, Damian, Jones.Msimu ujao waondoke hawa wasipo improve; Jessey, Rashford, Matic, De gea.
Hata kumuondoa Young ni risk sana tukumbuke kuwa yeye kacheza karibia mechi zote za epl huku Dalot akiwa bench warmer na hata alipopewa nafasi hakuonyesha kuwa threat kwa young.

Tunataka kununua beki mwingine wa kulia ndiyo lakini tuna uhakika gani atakuja kuendana na league haraka hivyo ?

Heri Young abaki kama back up hata kama tukinunua beki mwingine huyo Young anaweza kucheza hata sub za maeneo mengine ambayo mengi anayaweza.
 
Hapa ndiyo ninapoleta mjadala kuhusu nani wa kulaumiwa kwenye usajili! Je ni Ed? au Ole?

Nakumbuka Liverpool tukiwa na Matajiri hawahawa (FSG) tulionao Makocha waliopita Hodgson, Dalglish na Rodgers walikuwa wskitusainia wachezaji aina ya Henderson, Downing, Allen, Spearing, Charlie Adams, Lallana, Kolo Toure, Lovren na Wapumbavu wengi tu wa Calibre ya hao ambao ni average na wa bei za kununua Nyanya.

Lakini tukiwa na Matajiri hawahawa FSG chini ya Kocha Klopp tunasaini wachezaji wa aina ya Mane, Salah, Allison, Fabinho na VVD ambao ni talented bei zao zinaendana na Soko.

Sasa hapo je tatizo ni Tajiri, CEO, Makocha au Scout teams zinakuwa na udhaifu katika kuidentify Targets sahihi?

Ni wazi kuwa Scout team pamoja na Kocha hawapo vizuri ndiyo sababu ya kusajili failure signings.
Hapana Mimi naamini ni mfumo mzima Wa club ktk kusajili ulikuwa Wa ki asenoaseno yaani Wa kuangalia faida kifedha zaidi,ila kwa sasa wameamua wabadilike na kuendana na mahitaji ya mpira kiasi cha kumsikiliza kocha anachotaka na kumtimizia.
 
OGS ameshachemsha tayari. Chrismass hafiki.View attachment 1122207

Niliwahi kuongea humu kwa nia safi kuwa huyu Lingard hana kipaji kabisa na hana hadhi ya kucheza United Club ambayo ndio kubwa na yenye historia ndefu zaidi pale Uingereza

lukesam akasema nabwabwaja sana na wengineo wakionesha kutofurahishwa na mimi kusema huyu dogo hastahili kuwepo pale Old Traford
 
Back
Top Bottom