Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Sasa tutafanyaje sasa sisi mashabiki kama maboss bado wanampa mkataba ?
Niliwahi kuongea humu kwa nia safi kuwa huyu Lingard hana kipaji kabisa na hana hadhi ya kucheza United Club ambayo ndio kubwa na yenye historia ndefu zaidi pale Uingereza
lukesam akasema nabwabwaja sana na wengineo wakionesha kutofurahishwa na mimi kusema huyu dogo hastahili kuwepo pale Old Traford