Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kina Web HAHA nakumbuka alikuwa akichezesha game yenu chelsea vs man u bas jua chelsea umeme unawahusu
Hahaha acha tu mkuu, kuna game moja ya chelsea na manure alichezesha tulilimwa red mbili na kumzawadia chicharito goli la offside. Ile gemu tulipigwa 3-2 lakini manure walionja joto la jua

Nakumbuka na ile game ya semi final dhidi ya Barca dah! Web ilikuwa wazi aipendi chelsea.
 
Tatizo, la hao Mediocre players, ni kubwa sana.
Wapo wengi ( young, jones,darmian, lingard nk)

Wachezaji tunaonunua kuja kuingia first team (kuimprove kikosi), wengi wao kama sio wote WANASHUKA VIWANGO VYAO tofauti na walikotoka.

Unanunua mchezaji kama mikitariyan, unamlipa mfano pauni 100,000p/w. Backup yake ni lingard unayemlipa mfano pauni 75,000p/w. MIKI anacheza miezi sita ,baada ya hapo anaflop, matokeo yake unamuanzisha lingard,.

Mojakwa moja hapo utakae anza kumuondoa ni MIKI unayemlipa pesa nyingi. Huwezi ukamuondoa lingard then ubaki na flop.

Hii iko hivyohivyo hata kwa positions nyingine, Young, jones , Smalling ,wapo mpka leo sababu Rojo, bailly na Darmian wameshishwa kuderiver kama tulivyotarajia.

Ninachojiuliza mpka sasa ni kwa nini wachezaji tulionunua kwa kipindi hiki cha miaka 5 , toka SAF ameondoka, wengi wanaishia kuwa flops?
 
Transfer news and rumours LIVE: "Man Utd consider move for Dier as Matic replacement"

Huu sasa utani
mkuu sidhani kama hii habari ni ya utani.
ukizifuatilia hizi tetesi zinavyokwenda mpaka muda huu kama kweli man utd inahitaji kutafuta namba 6 wa kuziba nafasi ya nemanja matic mwenye nafasi kubwa ya kusajiliwa ni mchezaji wa kiingereza.
  1. eric dier = tottenham hotspurs
  2. declan rice = west ham united
  3. bruno fernandez : kiungo mshambuliaji
  4. rabiot : hayupo vizuri eneo la ulinzi
  5. thomas partey :tetesi zake zimeshafariki
  6. ndombele : tetesi za kutakiwa man utd zimeshafariki kitambo
twafaaaa 🙂🙂
 
Hapo Declan Rice wa west ham ndo atafit
 
Hahaha acha tu mkuu, kuna game moja ya chelsea na manure alichezesha tulilimwa red mbili na kumzawadia chicharito goli la offside. Ile gemu tulipigwa 3-2 lakini manure walionja joto la jua

Nakumbuka na ile game ya semi final dhidi ya Barca dah! Web ilikuwa wazi aipendi chelsea.
Haha hiyo game ya red card2 naikumbuka vizuri mlikuwa mmewashika ile mbayaaa oscar alikuwa moto hiyo siku dah hizo red card hata hazielewekagi zilitoka toka vip
 
Tatizo, la hao Mediocre players, ni kubwa sana.
Wapo wengi ( young, jones,darmian, lingard nk)

Wachezaji tunaonunua kuja kuingia first team (kuimprove kikosi), wengi wao kama sio wote WANASHUKA VIWANGO VYAO tofauti na walikotoka.

Unanunua mchezaji kama mikitariyan, unamlipa mfano pauni 100,000p/w. Backup yake ni lingard unayemlipa mfano pauni 75,000p/w. MIKI anacheza miezi sita ,baada ya hapo anaflop, matokeo yake unamuanzisha lingard,.

Mojakwa moja hapo utakae anza kumuondoa ni MIKI unayemlipa pesa nyingi. Huwezi ukamuondoa lingard then ubaki na flop.

Hii iko hivyohivyo hata kwa positions nyingine, Young, jones , Smalling ,wapo mpka leo sababu Rojo, bailly na Darmian wameshishwa kuderiver kama tulivyotarajia.

Ninachojiuliza mpka sasa ni kwa nini wachezaji tulionunua kwa kipindi hiki cha miaka 5 , toka SAF ameondoka, wengi wanaishia kuwa flops?
Watafutaji wa wachezaji sidhani km wanasajili kuendana na phalasapha ya mpira wa Man Utd
 
mkuu sidhani kama hii habari ni ya utani.
ukizifuatilia hizi tetesi zinavyokwenda mpaka muda huu kama kweli man utd inahitaji kutafuta namba 6 wa kuziba nafasi ya nemanja matic mwenye nafasi kubwa ya kusajiliwa ni mchezaji wa kiingereza.
  1. eric dier = tottenham hotspurs
  2. declan rice = west ham united
  3. bruno fernandez : kiungo mshambuliaji
  4. rabiot : hayupo vizuri eneo la ulinzi
  5. thomas partey :tetesi zake zimeshafariki
  6. ndombele : tetesi za kutakiwa man utd zimeshafariki kitambo
twafaaaa 🙂🙂
Dier wanini? Hilo zigo lingine
 
Nani kakwambia kama hicho sio kikosi cha Uengereza? Labda tuanzie hapo!

Aliyekosekana katika hicho kikosi ni Kane, Henderson na Bamidele tu.

Lakini waliobakia wote ndiyo kikosi tegemewa
Mimi ni shabiki lialia wa timu ya Malkia hapo kuna wachezaji 6 hawana Namba kwenye timu yangu ya taifa ...

1. Chilwell.. Ni namba ya Young ambae team ya taifa huitendea haki hiyo namba

2. Walker .. Hiyo ni
namba ya Trippier mchezaji ambae performance yake akiwa upande wa kulia hua nasisimkwa na uchezaji wake.. Walker ni mtu wa makosa mengi

4. Huyo Declean Rice na unajua Mwenye hiyo Namba ...

5. Rashford.. Namba ya His Excellecy King of England "Sir Kane"

6. Rose Barkley sitaki hata kumalizia .. Unajua ni namba ya Nani ...

Sasa kikosi kina wachezaji sita wasiokuwa na namba unasema ndio kikosi chetu kweli .. Please tutake radhi sisi "Black English" tulioko huku namtumbo
 
Back
Top Bottom