Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi ole kapunguziwa bajeti ya usajili au kuna nini kinaendelea? Anaunga sana mithili ya arsenal.

Hapa ndiyo ninapoleta mjadala kuhusu nani wa kulaumiwa kwenye usajili! Je ni Ed? au Ole?

Nakumbuka Liverpool tukiwa na Matajiri hawahawa (FSG) tulionao Makocha waliopita Hodgson, Dalglish na Rodgers walikuwa wskitusainia wachezaji aina ya Henderson, Downing, Allen, Spearing, Charlie Adams, Lallana, Kolo Toure, Lovren na Wapumbavu wengi tu wa Calibre ya hao ambao ni average na wa bei za kununua Nyanya.

Lakini tukiwa na Matajiri hawahawa FSG chini ya Kocha Klopp tunasaini wachezaji wa aina ya Mane, Salah, Allison, Fabinho na VVD ambao ni talented bei zao zinaendana na Soko.

Sasa hapo je tatizo ni Tajiri, CEO, Makocha au Scout teams zinakuwa na udhaifu katika kuidentify Targets sahihi?

Ni wazi kuwa Scout team pamoja na Kocha hawapo vizuri ndiyo sababu ya kusajili failure signings.
 
Sasa hiv naamini usajili wa Wachezaji wasiona majina makubwa kuliko mijitu inakua na shombo.

Timu inamaliza ya sita Cha ajabu mitimu iliyobeba kombe hata haizungumziwi. Mwisho siku anayeongoza kwa mapato ni Man Utd.

Hawo nao badala ya kushabikia timu zao, na kununua shirt. Wanashabikia man Utd. Mibongo bwana
Ss ni manure....tunashabikia mapato yetu mazuri na jezi tunauza sana....ss ni wanoma..
 
Back
Top Bottom