Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Mkuu ndio ukweli huo Manchester United imeshaishiwa mipango tofauti yao na Newcastle, Wolverhampton ni Majina tu .
Mkuu ndio ukweli huo Manchester United imeshaishiwa mipango tofauti yao na Newcastle, Wolverhampton ni Majina tu .
Hao uliowataja utawalinganisha na Mata, Rojo, Baily, Jones, Young, Smalling, Matic, Lingard, Sanchez?fikria hata kikosi cha real madrid kilichobeba makombe mara tatu mfululizo msingi wake mkubwa ulianza kujengwa kuanzia mwaka 2009 chini ya raisi ramon calderon aliyewasajili ronaldo, alonso, benzema, kaka, raul albiol.
baadae wakaongezwa ozil, dimaria, khedira, carvalho, varane, coentrao, callejon, luka modric, kroos, bale n.k
hawa wote wametumikia klabu takribani miaka mitatu hadi nane mbona madrid wamefanikiwa?
ndio maana nikasema hoja ya kuwa na wachezaji 18 tokea mwaka 2015 ndio chanzo cha sisi kufanya vibaya ni dhaifu.
Just imagine wachezaji 18 kati ya kikosi cha wachezaji 25.Kuna na wachezaji 18 ambao ni
Underperfoming tokea 2015 hadi leo ni kosa kubwa sana..ikiwekwa hivi je mkuu??
Msimu huu Rojo hajafikisha hata mechi 15.Mkuu nakuomba kwa heshima zote umuondoe mtumishi wa wa Bwana "Marcus Rojo " katika hiyo orodha ya wahuni wa Tandika ..
Utakuwa umenifanya kuwa na sikukuu tamu kama ukimuondoa huyo mtu kwenye hicho kichaka..
Mnaoponda usajili wa James tukumbushane tu.
![]()
Tunashika nafasi ya 3 toka chini, timu haikimbizi wala haikabi kumejaa wavivu tu. James ni Aina ya mchezaji ambaye kivyovyote vile tunamhitaji.
-anakaba na kufanya tackling za maana
-ana mbio sana na anaujua vyema mfumo wa counter attack.
Kwa kikosi chetu Man u hatuna mchezaji kama yule,atatu improve.
na bado kuandika kwa usahihi kwenye forum hujaweza.uz umeandkwa nko la 3
Hivi humu mnajishughulisha na nini?
Luke shaw aliwahi kukosa mechi ngapi na sasa anasakata kabumbu kama kawaida ...Msimu huu Rojo hajafikisha hata mechi 15.
Ameshakuwa spana mkononi.
Aende tu.
Si kweli nahitaji kuuona huo mfumo, mwishoni wa mwezi wa 11 ambapo mou alikuwa anakaribia kufukuzwa kila mechi wapinzani wetu walikimbia zaidi yetu.Huo unaoita Uvivu na Kitokukimbiza unaweza ukaja mkuta hata huyo James.
Pace na kukimbiza mipira inategemea na mfumo wa timu.
Kama kocha si muumini ya Pace na kukimbiza mipira mirefu basi huyo dogo atakuja kucheza kama Martial.
nimepata homa ghafla muda huu nipo ICU lakini sijapoteza maarifa yangu wala nguvu, hizi tetesi zitamtoa mwanadamu mjinga uhai wake.
magazeti ya ureno yameandika maneno haya:
Bruno Fernandes muito perto do Tottenham
Miguel Pinho reuniu-se com dirigentes dos londrinos, que vão avançar com uma proposta
kwa msaada wa google translator.
Bruno Fernandes very close to Tottenham, Miguel Pinho met with leaders of the Londoners, who will come up with a proposal.
gazeti la manchester evening news wanadai ya kwamba bruno fernandez usajili wake utatangazwa rasmi klabuni manchester united baada ya kumalizika kwa michuano ya european nation siku ya jumapili.
niwe mkweli sijawahi kuiamini manchester united kwenye ishu ya usajili haijalishi tetesi za kumuhitaji ngassa.
unakumbuka dili la ronaldinho gaucho lilivyogeuka kituko
unakumbuka dili la lucas moura tulivyopinduliwa na waarabu
unakumbuka dili la luka modric
vipi kuhusu sneijder
![]()
Bruno Fernandes muito perto do Tottenham
Miguel Pinho reuniu-se com dirigentes dos londrinos, que vão avançar com uma propostawww.record.pt
Wanatafuta sababu za kununua waingereza tu! Ndio utaona dakika za mwisho wanavutwa akina declan rice kwa dharura utadhani walikuwa wamefungiwa.nimepata homa ghafla muda huu nipo ICU lakini sijapoteza maarifa yangu wala nguvu, hizi tetesi zitamtoa mwanadamu mjinga uhai wake.
magazeti ya ureno yameandika maneno haya:
Bruno Fernandes muito perto do Tottenham
Miguel Pinho reuniu-se com dirigentes dos londrinos, que vão avançar com uma proposta
kwa msaada wa google translator.
Bruno Fernandes very close to Tottenham, Miguel Pinho met with leaders of the Londoners, who will come up with a proposal.
gazeti la manchester evening news wanadai ya kwamba bruno fernandez usajili wake utatangazwa rasmi klabuni manchester united baada ya kumalizika kwa michuano ya european nation siku ya jumapili.
niwe mkweli sijawahi kuiamini manchester united kwenye ishu ya usajili haijalishi tetesi za kumuhitaji ngassa.
unakumbuka dili la ronaldinho gaucho lilivyogeuka kituko
unakumbuka dili la lucas moura tulivyopinduliwa na waarabu
unakumbuka dili la luka modric
vipi kuhusu sneijder
![]()
Bruno Fernandes muito perto do Tottenham
Miguel Pinho reuniu-se com dirigentes dos londrinos, que vão avançar com uma propostawww.record.pt
Mimi uzi umeandikwa ndy nimeamliza darasa la 7(septemba), mda huo nilikua kweny process ya kusubiria matokeo hadi hiyo november uzi ulipoandikwa!!...nilinyamaza tu kimyauz umeandkwa nko la 3
Huyo jamaa amekosea sana ingetakiwa akwambie piga magoti hapo hapo ulipo umsalimie BingwaLeo asubuhi nimepishana na shabiki wa liver akaniambia we simama usalimiane na Bingwa dah roho ikaumia sana na hizi dharau.
Halafu timu mpaka sasa haieleweki na usajili sifuatilii nitaona mwishoni nani kaja inatosha.