Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Stam bonge la mtu.Hahahaha ningekuwa sosha ningesajili becks, Stam na pol
Naona watu mna hasira sana na OLE! Kafunga goal zuri sana na la kwanza lakini sio story yani 😬 😬Beckham jana alikuwa ananimwagia majalo ile kiroho mbaya..Stam hajui hata kama ni friendly..yaani kazi kazi hawa watoto wana la kujifunza kutoka kwa hawa wakongwe
Tap-in goal lile hamna cha ajabuNaona watu mna hasira sana na OLE! Kafunga goal zuri sana na la kwanza lakini sio story yani
Watu wanamzungumzia Becks tu😕
Mkufunzi wa zamani wa klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson ameshangazwa ni kwa nini klabu hiyo haitafuti ushauri wake na anaamini kwamba klabu hyo ingemsajili mkufunzi wa Tottenham manager Mauricio Pochettino badala ya Ole Gunnar Solskjaer. (Mail on Sunday)
Pimbi huyu hapambona mnamsingizia sana fergie? Alishasema moyes alikuwa choice ya 6, choice 5 aliwapa man u juu yake ambao ni
1. PEP Guardiola ( Fergie mwenyewe alimpigia simu)
2. Jose Mourinho
3. Jurgen Klop
4. LVG
5.
Source kitabu chake mwenyewe kupitia Sky sport
https://www.skysports.com/football/...s-david-moyes-was-sixth-choice-to-replace-him
Mlaumu alioshindwa kuwapata hao wa 5 na kumchagua wa 6.
Aya Bin Zayed group wanainunua Newcastle United kazi hiyo
Grazers hawataki kuuza.... umesahau enzi za gold and yellow... wamepingwa sana hawa grazersSie bado tumekumbatia wamarekani kisa utamaduni....****
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Pimbi huyu hapaView attachment 1109671
Tutakuwa salama huyu jamaa akiondoka. Maana anamisimamo yake ajabu. Huyu ndiye anayekwamisha kupata Mkurugenzi wa ufundi. Akili yake IPO kwenye Biashara zaidi.Pimbi huyu hapaView attachment 1109671
Hawakumbatiwi, Mashabiki wa man U hata hawawapendi sema jamaa wabishi kuuza timu. Mashabiki wa Man U walijichanga wakapeleka 1B hao kina Glazzer wakakataa. Kundi lilikuwa linaitwa Red Knight.Sie bado tumekumbatia wamarekani kisa utamaduni....****
Tugomee kuingia uwanjani mpaka pale timu itakapuzwaHawakumbatiwi, Mashabiki wa man U hata hawawapendi sema jamaa wabishi kuuza timu. Mashabiki wa Man U walijichanga wakapeleka 1B hao kina Glazzer wakakataa. Kundi lilikuwa linaitwa Red Knight.
Wana utd hata updates za kudanganyia pia hakuna? Au ndio tumeanza ku msusia timu ed Woodward?
Robertson alisajiliwa kutokea Hull City leo hii anacheza Champions league tena fainal mbili mfululizo, unataka nikuambie kitu kuhusu Gini wa Liverpool??Tumeshachoka...fikiria new castle ishanunuliwa ..waache waendelee kulala..eti usajili unasajili kutoka swansea city..halafu unategemea utaenda champions league
Robertson alisajiliwa kutokea Hull City leo hii anacheza Champions league tena fainal mbili mfululizo, unataka nikuambie kitu kuhusu Gini wa Liverpool??
Man United ilishasajili Di Maria kutoka Madrid, Pogba kutoka Juve, Ibrahimovic kutoka PSG, Schwensteiger kutoka Bayern, je wameifanyia nini United??