Manchester United (Red Devils) | Special Thread

#USAJILI: Man United imetuma dau la £70m kumsajili kinda wa Ajax, Matthijs de Ligt na itatekeleza hitaji lake la mshahara wa £350,000 kwa wiki. Mchezaji wa zamani wa Man United, Daley Blind amethibitisha kuwa de Ligt amechagua kujiungan na Man Uited kuliko Barcelona.

Mirror
 
nataka ni stream mechi ya man utd vs Bayen munch reuniuon..

msaada nisaidieni mwenzenu.... nistrim wap?
Ipo Man U TV, king'amuzi cha Azam

Dakika ya 29, United anaongoza goli 1

Naona York anatupia la 2
 
Hata yeye hana jipya,alitupatia the chosen one Moyes
 
Ni sahihi ila alikuwa na mkono wake hapo. Ma meneja wengi walikuwa bado wapo vibaruani so ilikuwa ni ngumu kuwapata na pep hakutaka kuja, nshawahi msikia yeye mwenyewe tena anasema ascent ya feigie ilikuwa ni ngumu sana kumuelewa hata anachoongea.
 
kazi ya Fergie ni kutoa ushauri, Mtendaji ni woodward, makocha watatu kati ya hao walienda timu pinzani, Mou, pep na Klop. Utamlaumu vipi Fergie?
 
Jamaa hajui kama hii ni mechi ya kirafiki. Akina Smalling wanatakiwa wachukue notes hapo kwa stam. Beki hutakiwi uwe na roho nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…