Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inter Milan imesema ipo tayari kutoa pauni 30milioni pamoja na winga Ivan Perisic ili kuipata saini ya mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku.
Winga huyo wa Croatia, Perisic amekuwa akihusishwa muda mrefu kutakiwa na Manchester United, huku Lukaku akishindwa kuonyesha ubora wake chini ya kocha Ole Gunnar Solskjaer.
Kwa mujibu wa Gazzetta dello Sport la Italia, ambalo limesema kuwa Inter inamtaka Edin Dzeko kutoka AS Roma.
Lukaku amecheza mechi 45 za mashindano yote ndani ya Manchester United msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 15, huku klabu hiyo ikimaliza nafasi ya sita katika msimamo wa Ligi Kuu England.
Inter nayo ipo katika vita ya kuwania kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa kupitia Serie A.
Inter ipo nafasi ya nne ikiwa mbele kwa pointi moja kwa watani zao wa jadi AC Milan na mbili zaidi ya Roma huku kila timu ikiwa na mchezo moja mkononi.
 
hahahahaahaaaa anashika nafasi ya kwanza ndani ya JF.
anawazidi kwa mbali sana wachambuzi wa soka waliopo Tanzania.
ni tunu ya JF kwenye ulimwengu wa soka akifuatiwa na M-Mbabe naye yupo vizuri kwa mtazamo wangu.

Jamaa yuko mbali sana kwenye hiyo sekta, sina uhakika kama kuna mtu kwenye media anayemfikia.

Na anaelezea kwa mfumo ambao unabaki huna swali. Vitu kibao umeviona kwenye mechi hukuelewa implication yake, ila jamaa akichambua unaelewa sana.
 
Inter Milan imesema ipo tayari kutoa pauni 30milioni pamoja na winga Ivan Perisic ili kuipata saini ya mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku.
Winga huyo wa Croatia, Perisic amekuwa akihusishwa muda mrefu kutakiwa na Manchester United, huku Lukaku akishindwa kuonyesha ubora wake chini ya kocha Ole Gunnar Solskjaer.
Kwa mujibu wa Gazzetta dello Sport la Italia, ambalo limesema kuwa Inter inamtaka Edin Dzeko kutoka AS Roma.
Lukaku amecheza mechi 45 za mashindano yote ndani ya Manchester United msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 15, huku klabu hiyo ikimaliza nafasi ya sita katika msimamo wa Ligi Kuu England.
Inter nayo ipo katika vita ya kuwania kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa kupitia Serie A.
Inter ipo nafasi ya nne ikiwa mbele kwa pointi moja kwa watani zao wa jadi AC Milan na mbili zaidi ya Roma huku kila timu ikiwa na mchezo moja mkononi.
Kuna timu ulaya zinamuona Lukaku ni potential sana!! Kuna cha ziada wanachoona atakitoa....ila united fans, wengi ni kati ya mchezaji wanayetaka aondoke hlf waunguze benk wabebe striker mwingn!! Lukaku kuna kocha wanamjulia, hata conte kama akienda juve amedai anamtaka lukaku
 
Inter Milan imesema ipo tayari kutoa pauni 30milioni pamoja na winga Ivan Perisic ili kuipata saini ya mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku
biashara ya kipumbavu, kama united wamechoshwa na romelu lukaku wamuuze kwa hela iliokamilika na si kubadilishana na kizee perisic,
nyakati ambazo jose alimuhitaji perisic bwana ed woodward alikataa kumsajili kwa kisingizio cha dau kubwa
 
Kuna timu ulaya zinamuona Lukaku ni potential sana!! Kuna cha ziada wanachoona atakitoa....ila united fans, wengi ni kati ya mchezaji wanayetaka aondoke hlf waunguze benk wabebe striker mwingn!! Lukaku kuna kocha wanamjulia, hata conte kama akienda juve amedai anamtaka lukaku

Conte ni kama nimesikia anaenda Inter Milan.

Juve ni kazi ya Mourinho ile.
 
Anaweza akaenda!! Ila si kuna namna hawaelewan na ronaldo? Sidhn kama lile bifu lina-exist!

Mou saiv kabadlisha mawaz sana...anataka aweke mahitaji yake mezani, na klabu iseme kama wanaweza hlf ndy asain mkataba!!

Ronaldo ndiye anayempigia chapuo kwenda Juve.

Nadhani waliyamaliza na kila mmoja anakubali winning mentality ya mwenzake.
 
Back
Top Bottom