Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Hivi Man u hawamuoni Leroy Sane hadi waanze kutoa pound 88 kwa hako katoto ka Benfica?
Fikiria Sane na jesus wameondoka!!
Fikiria Sane na jesus wameondoka!!
Man city watakuwa tayari kweli kufanya biashara hii na sisi?Hivi Man u hawamuoni Leroy Sane hadi waanze kutoa pound 88 kwa hako katoto ka Benfica?
Huyo dogo anaondoka mkuu 100%Man city watakuwa tayari kweli kufanya biashara hii na sisi?
Inter Milan imesema ipo tayari kutoa pauni 30milioni pamoja na winga Ivan Perisic ili kuipata saini ya mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku.
Winga huyo wa Croatia, Perisic amekuwa akihusishwa muda mrefu kutakiwa na Manchester United, huku Lukaku akishindwa kuonyesha ubora wake chini ya kocha Ole Gunnar Solskjaer.
Kwa mujibu wa Gazzetta dello Sport la Italia, ambalo limesema kuwa Inter inamtaka Edin Dzeko kutoka AS Roma.
Lukaku amecheza mechi 45 za mashindano yote ndani ya Manchester United msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 15, huku klabu hiyo ikimaliza nafasi ya sita katika msimamo wa Ligi Kuu England.
Inter nayo ipo katika vita ya kuwania kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa kupitia Serie A.
Inter ipo nafasi ya nne ikiwa mbele kwa pointi moja kwa watani zao wa jadi AC Milan na mbili zaidi ya Roma huku kila timu ikiwa na mchezo moja mkononi.
Man city watakuwa tayari kweli kufanya biashara hii na sisi?
Man city watakuwa tayari kweli kufanya biashara hii na sisi?
Bayern amejipeleka kichwa kichwa na atapigwa kweli Sane hana thamani ya €80 mlKama wanamwachia kwanini wakatae kufanya biashara na sisi.
Sioni sababu ya kutoa pauni millioni 88 kwa mtoto huyo.
Mou akiishika Juve atasumbua....akisimamia usajili mwenyew kwa pale juve kam akienda, mou anaeza leta usumbufu hata uefaRonaldo ndiye anayempigia chapuo kwenda Juve.
Nadhani waliyamaliza na kila mmoja anakubali winning mentality ya mwenzake.
Sidhani kama itawezekan ila Bayern ndiko mama yake Sane anashinikiza akacheze na baba ndy Agent!! Mkataba unataka renewing mda sana ila ukinzani fln umekuwepo!!Hivi Man u hawamuoni Leroy Sane hadi waanze kutoa pound 88 kwa hako katoto ka Benfica?
Mbona sie tuliwahi fanya nao kwa tevez
Sane amenunuliwa kwa paundi 40+ wakati huo ana miaka 20 kama sikosei, sasa hivi ana miaka 23 unategemea atauzwa hela ngapi na mfumuko wa bei kwa wachezaji jinsi ulivyoBayern amejipeleka kichwa kichwa na atapigwa kweli Sane hana thamani ya €80 ml
Source???Manchester United have offered a contract of £236,000 per week to De Ligt. #MUFC
Mbona sie tuliwahi fanya nao kwa tevez
Aisee miaka 19 pesa yote hii?? Hii timu asee.Manchester United have offered a contract of £236,000 per week to De Ligt. #MUFC
Wakina Zaha wapo sokoni kwa £60+ itakua Sane? Soko la sasa limechafuka sana..Sane amenunuliwa kwa paundi 40+ wakati huo ana miaka 20 kama sikosei, sasa hivi ana miaka 23 unategemea atauzwa hela ngapi na mfumuko wa bei kwa wachezaji jinsi ulivyo
Sawa Lucia Charles team wangu wa utotoniMkuu kashindane na Mama Debora ndo saizi yako huku tuache kama tulivyo