Tumekuwa kama Fc Dynamo kievUnited yetu inasikitisha sana.. Yaani hadi Arsenal inatuzidi upepo kwenye soko la ulajili.
Wakati Javier Hernandez "Chicharito" first season (2010/2011) aliweka kambani goli ishirini (20)..kweli tumepotea kwenye kila idaraRashford has 28 goals in FOUR SEASONS,
Just saying
Hela ya mboga tu..ni bora tumix mambo..sio kutumia £70M+ halafu wachezaji wanakuja kuwa kitukoBila kusahau 15m kwa soko la sasa ni hela ya madafu.
Cr7 yuko Pale Italia ... Rooney Yuko pale nchi ya Donald John Trump ... Huyo Babatov yuko kwao anakula pensheni yake ya NSSF.
UNA swali lingine ?
Usijali, mi hujanikwaza, haya pia ni mawazo yako. Mimi nimesema Mbappe ni Messi wa baadae siyo Leo. Pia Hazard hawezi kulinhana na Mbappe Mkuu. Yatunze maneno haya kwa miaka minne ijayo.Naheshimu Mawazo yako ila nakuomba siku nyingine acha Kumlinganisha Lionel Messi "La Pulga" na vitu vya kijinga jinga ...
Umenikwa sana kama si kunihuzunisha kumlinganisha Messi na huyo mbape. Mbape ana uwezo wa kawaida sana... Tena akija EPL atapotea mapema mno.
Mimi ukiniwekea mezani Eden Hazard na mbape namchukua Eden Hazard ..
Samahani kama nimekukwaza Mkuu ...
Tujifunze sana kinachotokea Liverpool
"Yenye average player lakini wamekutana na chemistry ya mfumo mzuri na msukumo Wa njaa ya mafanikio
Wanacheza kwa kujitoa sana.
Mbappe ni hatari kuliko HazardUsijali, mi hujanikwaza, haya pia ni mawazo yako. Mimi nimesema Mbappe ni Messi wa baadae siyo Leo. Pia Hazard hawezi kulinhana na Mbappe Mkuu. Yatunze maneno haya kwa miaka minne ijayo.
Nikisema nikutajie orodha ya wachezaji wenye kariba ya Cr7 yule wa Sporting Lisbon (Kwa maana ya umri wake kipindi yupo sporting Lisbon ) wapo lukuki ... Ukisema nikutajie cr7 wa Manchester united na real Madrid hataweza kutokea tena ...Umeelewa swali language kweli?
Nitajie wachezaji Wa aina ya Rooney , cr7 waliopo kwenye soko la wachezaji Wa sasa!
Je point ya Klopp kuwasaidia kuwa level hizo kwa kutumia mfumo wake je unalizungumziaje??Ukweli ni kwamba Liverpool haina average players.
Moh Salah
Sadio Mane
Giorgio
Djick
Alison
Fabinho
Firiminho
Hii siyo average squad
Naheshimu Mawazo yako pia ila amini ninachokwambia ... Mbape ana uwezo wa kawaida mno , acha kumlinganisha na Loionel Messi "La Pulga"...Usijali, mi hujanikwaza, haya pia ni mawazo yako. Mimi nimesema Mbappe ni Messi wa baadae siyo Leo. Pia Hazard hawezi kulinhana na Mbappe Mkuu. Yatunze maneno haya kwa miaka minne ijayo.
Huyu Odegaard si yule Norwegian aliyekuwa MadridRomero
Bissaka Alderwield Lindelof Shaw
Odegaard Rice Ndombele
Pepe Lukaku D.James
Tukitembea hivi next season huku tukiendelea kujipanga itakuwa poa kwa upande wangu..
De Gea,Pogba wanaweza kuuzwa sitojali..mchukue ndombele wa lyon...odegaard yupo vittesse...pepe yupo lile...Alderwield najua haitakuwa tabu,huku tukiendelea kutafuta damu changa kwenye hiyo nafasi
Meanwhile kikosi chetu cha pili (Substitutions) kinaweza kuwa hivi
Henderson
Tuanzebe Smalling Bailly Dalot
Perreira McTominay Fred
Mata Rashford/Greenwood Martial
Berbatov ni ambassador UnitedUmeelewa swali language kweli?
Nitajie wachezaji Wa aina ya Rooney , cr7 waliopo kwenye soko la wachezaji Wa sasa!
Yaah Odegaard ni Norwegian yupo on-loan kutoka madrid...Huyu Odegaard si yule Norwegian aliyekuwa Madrid
Siku hizi yupo Ufaransa kumbe
Rice simkubali kiivyo, kwangu badala yake bora awekwe Neves/Ndidi/Partey,
Ila Pepe ni mtu mwingine yule jamaa
Ndombele naye ni mwiba ila sijui kama ana mpango kucheza Europa League
Lakini hicho kikosi kimesimama mkuu
Ongezea na Gomes na Greenwood reserves
Hazard anaondoka, mbadala wake Perisic na OdoiUsajili wa man u ni kichekesho
Berbatov ni ambassador United